Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au...
2 Reactions
5 Replies
204 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali uamuzi wa utawala haramu wa Samia Suluhu Hassan wa kuzuia ujumbe rasmi wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya kutembelea...
5 Reactions
7 Replies
359 Views
Burj Khalifa Builder On Why He Prefers Hiring Indians: "They Answer The Phone Even At 1 am"He noted that many Indian employees remain accessible even at unconventional hours, reflecting a deep...
8 Reactions
13 Replies
460 Views
Hii ikimaanisha, kamwe haiwezekani CCM kushindwa uchaguzi wowote itakaoshiriki hasa kwenye nafasi za kitaifa, na wala kamwe haiwezekani uongozi wake kupinduliwa na vibaraka wa ndani au nje ya CCM...
2 Reactions
7 Replies
181 Views
Nimeona taarifa kuwa Kituo cha PPP-CENTRE kimesema zaidi ya mabasi 150 ya kampuni ya Mofat yameegeshwa kwa zaidi ya miezi sita kutokana na ukosefu wa maeneo ya kutoa huduma, huku mabasi 50 pekee...
2 Reactions
5 Replies
266 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili. Kila...
4 Reactions
31 Replies
412 Views
Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni! Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni...
11 Reactions
11 Replies
251 Views
Kila mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi, hawezi kuacha kukiri kuwa tangu taifa hili liwepo, hakujawahi kutokea mtu mwenye msimamo ulionyoka wa kutetea haki, zaidi ya TUNDU ANTIPASI LISU. Mtu...
3 Reactions
7 Replies
165 Views
Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia...
2 Reactions
22 Replies
229 Views
Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam. Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo...
8 Reactions
19 Replies
291 Views
Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana...
38 Reactions
71 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho ni Siku Ambayo Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuzungumza na Taifa na Dunia...
3 Reactions
26 Replies
815 Views
Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Uchaguzi wa mwaka jana ulileta kilio Cha kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa. Hawa wanawake na wengine walijua watapewa ubunge wa mezani na CCM, walihaidiwa viti 20 vya ubunge, basi wakajaa na...
14 Reactions
43 Replies
713 Views
👉Kazi ngumu kuliko zote siyo ile ya kubeba mizigo au kufanya kazi za nguvu, bali ni ile ya kubadilisha namna unavyofikiri ili ujitoe kwenye umasikini wa akili. Hii ni kazi ya ndani kabisa...
5 Reactions
1 Replies
188 Views
Hamjambo Wote! 1. Fikiria watu wasioweza kuishi sehemu safi, wanatupa takataka hovyohovyo, Akitokea Bwana/Bibi afya mkali anachukiwa n kuwekewa zengwe aondolewe. 2. Nenda pale Kariakoo au...
7 Reactions
44 Replies
636 Views
Kuna kauli za huyu Kijana Makonda akionekana akitamka kwamba kelele nyingi za rushwa zinatokana na njaa kwamba mtu huyo apigae kelele za rushwa akiwekwa jikoni mdomo utajaa mafuta hata piga tena...
3 Reactions
10 Replies
240 Views
Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless...
9 Reactions
32 Replies
564 Views
WAPONGEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA KUHUSU MABASI KUTOPITA KWENYE MIZANI Baadhi ya abiria, wadau wa usafirishaji pamoja na madereva wa mabasi hapa nchini wameipongeza Serikali...
4 Reactions
17 Replies
380 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na...
5 Reactions
76 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…