Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu. Duru zinadai Dkt...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Bado maswali ni mengi kuhusu kampuni ya DP world kupewa kandarasi ya Bandari nchini Tanzania. Kwanza, Je, kulikuwa na zabuni iliyotangazwa ili kupata kampuni shindani? Kwa takwimu nilizo nazo, DP...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Nakumbuka akiwa Tanga kwenye uzinduzi wa matenki ya mafuta Rais Magufuli wakati huo aliwahi kumwita Prof. Makame Mbarawa Mpumbavu. Maana ya neno mpumbavu ni mtu aliyevuka viwango vya ujinga...
11 Reactions
10 Replies
2K Views
Salam Ndugu mkurugenzi wa maendeleo wilaya ya Geita mjini pole na hongera kwa majukumu yako ya kila siku katika kuwatumikia wanageita mjini. Naleta malalamiko ya wakazi wa Geita mjini, kata ya...
1 Reactions
3 Replies
855 Views
Hii inatoka maktaba. Wamewahi kushtakiwa kwa kuhonga. Labda tujue kwa sisi hapa ni nani ni nani wamenunuliwa
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana. Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme. Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+. Kwa misuguano hii kamwe haijengi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu wahenga walishasema mapema ya kwamba MCHUMA JANGA HULIA NA NDUGUZE. Ki kawaida matatizo humuumiza zaidi yamhusuyo kuliko jirani na mfano hai ni suala la kufiwa aumiaye na msiba ni...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni...
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Salaam Wakuu Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255. Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Watanzania tuna matatizo sana. Unakuta mtu Hana utaalamu wowote naye anakuwa eti mchambuzi na mbishi kwelikweli. Hivi kibinafsisha bandari nayo ni issue? Nini maana ya uwekezaji? Nini maana ya...
2 Reactions
4 Replies
706 Views
Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi. Nyerere kwa uelewa wake...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo...
9 Reactions
45 Replies
9K Views
Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara inaendelea kusimamia deni la Serikali kwa kuzingatia Sheria ya Mikopo, Dhamana na Misaada, Mhe. Mwigulu ameyasema hayo leo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na...
1 Reactions
11 Replies
984 Views
Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka; Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara...
2 Reactions
6 Replies
937 Views
Kuna watu wamefiwa, wengine wana kazi maalumu, wengine wanatoa huduma kwa jamii, mambo yamesimama hakuna malipo yoyote maofisini! Je, ni kweli nchi imefilisika? wiki nzima hakuna malipo yoyote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MHE. EDWARD LEKAITA AISHAURI SERIKALI KUACHANA NA SHERIA ZA KUNYANG'ANYA MIFUGO KWENYE UHIFADHI Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amesema Wizara ya Maliasili na Utalii inapaswa...
1 Reactions
0 Replies
583 Views
Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums. Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma...
12 Reactions
103 Replies
4K Views
DP world tuwaunge mkono, Hawa jamaa watatuboreshea ufanisi na mapato yataongezeka. Sio lazima kila kitu kiendeshwe na wazawa lazima kupata uzoefu kwa walioendelea. DP world kama ikiwezekana...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
NCHI HII HAINA USAWA KABISA. Nafasi zote za juu huteuliwa wao na familia zao au jamaa zao au rafiki zao. Mwananchi maskini kutoka Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu ambaye hana unasaba wala...
9 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…