Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kosa kuu la Yule aliyetumbuliwa ni kuropoka kwamba Nchi ina Akiba ya Mafuta kwa miezi 3 Hakusoma alama za Matapeli Wanamtandao Sasa Leo imethibitika! Hakuna nchi nyingine zaidi ya Koloni la...
5 Reactions
13 Replies
298 Views
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni...
10 Reactions
94 Replies
8K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitishwa na kauli ya ndugu Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Samoei Ruto. Ndugu Samia...
4 Reactions
11 Replies
361 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia Kiongozi Mwenye kufanya maamuzi Magumu na makini basi hakuna wa kumfikia Rais Samia katika Bara la Afrika. Ni kiongozi jasiri na mwenye uthubutu Mkubwa sana...
1 Reactions
30 Replies
314 Views
Shura ya Maimamu yajaa na sababu nzito za kuwa Tume ya Jaji Chande imejengwa nje ya misingi. Na Shura ya Maimamu imetoa waraka mzito wa kurasa 12 wenye mapendekezo manne. La kwanza ni rais aitoe...
3 Reactions
11 Replies
353 Views
Wakuu, Rais alishatuchamba tume ni yake, na ripoti ni yake, na sisi wala hatuna hiyana tumemwachia ripoti yake, maana haituhusu wananchi, ameshakabidhiwa, sasa Chande anakuja kujieleza kwetu ili...
39 Reactions
60 Replies
1K Views
Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo. Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata...
0 Reactions
4 Replies
258 Views
Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania. Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi...
4 Reactions
24 Replies
677 Views
Wakuu, Jana, Rais Samia amefanya mabadiliko na teuzi mbalimbali, na moja ya teuzi zilizovuta hisia za wadau wengi ni ile ya Dkt. Evaline Munisi kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi...
0 Reactions
5 Replies
288 Views
Guys guys Wakati samia aliongea kwa jaziba, Muhemko na chuki huku akihamasisha uonevu juu ya raia. Ruto kajibu kwa akili kubwa kwamba hao GenZ wala siyo tatizo. The big challenge ni "umaskini...
42 Reactions
51 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika...
20 Reactions
39 Replies
1K Views
  • Redirect
Tume ilipata ushahidi mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida ambao walikuwa karibu na matukio. Walifichua kwa uwazi matukio ya kabla, wakati na baada ya uchaguzi na kutoa picha halisi ya...
0 Reactions
Replies
Views
Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, (Maarufu tume ya Jaji Chande) inatarajiwa kuwasilisha...
14 Reactions
336 Replies
8K Views
Yaani eti Samia ndiye anataka kumshauri Rutto aanze kuwateka Gen Z bila kujua wenyewe ndiyo kizazi kijacho. Wenzetu wana katiba nzuri, bunge na mahakama ambazo sio za machawa. utamaduni gani wa...
10 Reactions
23 Replies
691 Views
  • Redirect
https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=1zvg40qWNAEird-_
0 Reactions
Replies
Views
Watu ambao hukabiliwa na msongo wa mawazo na wanaohofia au kujua jambo baya linalokaribia kuwakuta kwa kawaida ni waongeaji sana, wabwatukaji sana. Hata kama unauguza mgonjwa, siku ukiona anaongea...
8 Reactions
14 Replies
471 Views
Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza...
14 Reactions
16 Replies
523 Views
  • Featured
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki akiwasilisha taarifa ya sekta hiyo bungeni leo Aprili 30, 2026, amebainisha kuwa sekta hiyo imeendelea kupanuka kwa kasi, huku...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Nadhani wote mmemsikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu Mahakamani alipokuwa anamtetea Mwenyekiti wa Chama chake aliyesingiziwa kesi ya Uongo ya Uhaini ili CCM ipite bila kupingwa. Kumbe Mwanzilishi...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania. Sasa wakati wasikilizaji...
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…