Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 529
- 361
WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo.
Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai 5, 2026, Waziri Mkuu atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo, kuzungumza na wananchi, kusikiliza na kutatua changamoto zao katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara.