Je, Muhoozi anaanza kumrithi baba yake kinamna?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
265
Reaction score
491
1782864600176.png

Kwa sasa, hakuna mtu mwenye kusikika na kusababisha utata kama mwana wa mfalme Muhoozi Keinerugaba. Anakamata wale wanaopinga. Anafungia vyombo vya habari. Anatoa matamshi kana kwamba yeye ndiye rais. Je, hii nguvu kaipata wapi? Je, kuna kitu anakijua kuhusiana na afya ya baba yake ambacho wengi hawajui? Je, baba yake ameamua kumpa ukanda na kupima maji tayari kwa kumuachia mamlaka? Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Watu wengi husema Mzee Museveni ni mtu mwenye akili nyingi na hatabiriki, usije kushangaa Muhoozi Kainerugaba anapigwa chini na pengine hili analifahamu ndio maana kaunda chama chake cha PLU
 
Sema ninachomkubari jamaa huyu pamoja na uzumbukuku wake wote na kujitia comedian jamaa ameenda shule yaan amesoma na mimi mtu yoyote ambae shule imelala kichwani hata km anafanya utoto kiasi gani hatua ya mwisho ninayoichukua sio kumdharau bali kumuheshimu na halafu mbaya zaidi ni mbongo kabisa huyo dogo kazaliwa Dar-es-Salaam

Naishia hapo
 
So what!
 
Mimi naamini kwamba.....
Akili isio na manufaa, nisawa na ujinga.
 
Huu ndio upumbavu wa Nyerere.
Ila wengi hamuwezi kunielewa.

Huu ndio upumbavu wa Mwalimu Jk Nyerere
 
View attachment 3619391
Kwa sasa, hakuna mtu mwenye kusikika na kusababisha utata kama mwana wa mfalme Muhoozi Keinerugaba. Anakamata wale wanaopinga. Anafungia vyombo vya habari. Anatoa matamshi kana kwamba yeye ndiye rais. Je, hii nguvu kaipata wapi? Je, kuna kitu anakijua kuhusiana na afya ya baba yake ambacho wengi hawajui? Je, baba yake ameamua kumpa ukanda na kupima maji tayari kwa kumuachia mamlaka? Maswali ni mengi kuliko majibu.
In fact with no united and vibrant oppositions in Uganda, CDF.Gen. Muhoozi Kainerugaba can easily take power from his father and rule Ugandans as he wishes, and nothing will happen 🐒
 
Back
Top Bottom