Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu akizungumza leo amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapaswa kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu sababu zinazochangia vitendo hivyo vya utekaji ikiwa ni pamoja...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za...
Uchumi wa maeneo mengi ulidorora pakubwa. Biashara zilifungwa, mapato yalipungua na ajira nyingi zilipotea. Tume ilibaini kuwa uharibifu wa miundombinu ulisababisha hasara kubwa ya kiuchumi kwa...
SERIKALI ya Awamu ya Sita imeendelea kufanya mageuzi makubwa katika utumishi wa umma baada ya kupandisha madaraja watumishi 219,042 pamoja na kuongeza mishahara kwa asilimia 35.1, hatua inayotajwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa...
Tuwaambie tu CCM mitaa imewakataa sanaa! Mmeifanya nchi kuwa ngumu sana mambo ya hovyo yamekuwa mengi sana, maisha yamepanda yani yamezidi kuwa magumu
Ila wenzetu nyie mnakula raha tu...
Yaani itakuwa kupanda cheo jeshini, usalama, polisi ni lazima uwe kada na uteuzi utafuata makada kwanza ndiyo tunapoenda.
Hii ni kwasababu CCM imeishiwa njia nyingine zote za kushindani kwa hoja...
Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma iamuru apelekwe Dodoma kwa ajili ya kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa...
Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu.
Ila, hebu...
Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma.
Hatua hiyo...
Za ndaani Kabisa na kutoka kwenye Chanzo sahihi ! Katibu Mkuu wa Chama Fulani ambacho kinatumia mabavu kuwa madarakani amezinguana na Boss wake na akaambiwa kuwa ajitafakari Ila kagoma kulingana...
"Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika.
Ameandika Mch. Peter Msigwa
Historia inaonyesha:
mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali uamuzi wa utawala haramu wa Samia Suluhu Hassan wa kuzuia ujumbe rasmi wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya kutembelea...
Burj Khalifa Builder On Why He Prefers Hiring Indians: "They Answer The Phone Even At 1 am"He noted that many Indian employees remain accessible even at unconventional hours, reflecting a deep...
Hii ikimaanisha,
kamwe haiwezekani CCM kushindwa uchaguzi wowote itakaoshiriki hasa kwenye nafasi za kitaifa, na wala kamwe haiwezekani uongozi wake kupinduliwa na vibaraka wa ndani au nje ya CCM...
Nimeona taarifa kuwa Kituo cha PPP-CENTRE kimesema zaidi ya mabasi 150 ya kampuni ya Mofat yameegeshwa kwa zaidi ya miezi sita kutokana na ukosefu wa maeneo ya kutoa huduma, huku mabasi 50 pekee...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili.
Kila...