Ukweli ripoti ya Chande ni kituko! Aibu kwa Samia

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,571
Reaction score
14,875
Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha maana ni aibu kubwa.

Kusema vijana walikufa walichomwa na mikuki, utekaji ni mambo ya kimapenzi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ heshima ndogo iliyobaki ya mahakama na hawa majaji imeisha
 
Hili lizee the so called Judge, nilijinga tu. Zee zima linadanganya hata halioni aibu
 
Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha maana ni aibu kubwa.

Kusema vijana walikufa walichomwa na mikuki, utekaji ni mambo ya kimapenzi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ heshima ndogo iliyobaki ya mahakama na hawa majaji imeisha
we ni lofa kweli gentleman,
watu wakipongeza nongwa, wasipopongeza nongwa, mnajielewa kweli gentleman pamoja na mamaluki wenzako wafuata mkumbo?

inaonekana hamjui hata mnachokitaka.

ulitaka nani zaidi aipongeze ikiwa vyama vyote vya siasa katika uoja wao nchini vimeipongeza ripoti hiyo?
 
Back
Top Bottom