Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge Ado Shaibu wa jimbo la Tunduru Chama cha ACT-Wazalendo amewasilisha hoja nzito akibainisha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
5 Replies
70 Views
Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha...
3 Reactions
6 Replies
112 Views
  • Featured
Tanzania imeporomoka kwa nafasi 20 katika Ripoti ya Kipimo cha Amani Duniani (Global Peace Index - GPI 2026), na sasa inashika nafasi ya 98 kati ya nchi 163 zilizotathminiwa duniani. Kwa mujibu...
3 Reactions
23 Replies
881 Views
Aliyekuwa Mgombea Urais 2025 na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema aliyekuwa nyuma ya vikwazo alivyokutana navyo katika mchakato wa uchaguzi ndiye “aliyeishiwa pawa”...
0 Reactions
3 Replies
142 Views
  • Redirect
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amemjibu Rais Samia baada ya kudai kuwa Luhaga Mpina na Tundu Lissu, wameishiwa pawa, akisema kauli hiyo si sahihi na kwamba “aliyeishiwa...
0 Reactions
Replies
Views
Ile Taasisi bora ya vijana Duniani, BAVICHA, iko Dodoma nchini Tanzania kwa shughuli ya Kidunia upande wa vijana Picha hiyo ni Maandalizi ya Ukumbi kutakapoadhimishwa shughuli hiyo ya Kidunia...
4 Reactions
8 Replies
126 Views
Kundi la madikiteita waliowahi kutokea duniani.... As first lady of the Philippines, Imelda Marcos shared power in a "conjugal dictatorship" with her husband, Ferdinand Marcos, marked by severe...
2 Reactions
2 Replies
73 Views
SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa...
3 Reactions
17 Replies
83 Views
CCM hebu show some seriousness kwenye hizi pichapicha zenu mnacheza. Hamuwezi kufanya ujinga ulio quite obvious. Mmetengeneza viakaunti vya kumsifia Mama sawa ila zisiwe copy and paste. Lipeni...
2 Reactions
20 Replies
347 Views
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea, *maneno yenye nia na dhamira ovu, -Tutakinukisha -Uchaguzi tutauvuruga -Uchaguzi hautafanyika. -Tunajua tutauzuiaje! *Outcomes yake! -Uchaguzi ulikuwa na...
2 Reactions
125 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukutana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki kupitia Baraza la...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Kuna vijana wengi mitaani wanasubiri ajira lakini hakuna ajira ,ili waendelee kusubiri lazma tutafute utaratibu wa kuwakopesha kwa degree ya pili hii itaondoa vijana tegemezi kwenye familia...
4 Reactions
20 Replies
165 Views
https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8 Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya...
0 Reactions
2 Replies
71 Views
#HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo...
0 Reactions
6 Replies
83 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukutana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki kupitia Baraza la...
0 Reactions
5 Replies
109 Views
Waafrika ni nani aliyetuloga? Hii katiba ilipitishwa na nani? Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli? Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini? Nikitafakari naona aibu.
18 Reactions
92 Replies
991 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema matukio yaliyotokea Oktoba 29 yalihusisha watu waliohamasishwa kuingia barabarani baada ya kupewa kilevi. Katambi amesema baadhi ya...
0 Reactions
46 Replies
828 Views
kumekua na kauli za viongozi zilizojaa dharau majivuno kejeli kuhusu suala la october 29. Kuendelea kuongelea suala hili tena kwa dharau ni kuamsha hisia za victim. Sio kwamba serikali imeshinda...
2 Reactions
5 Replies
92 Views
Hii ndio maana halisi ya tonetone. Maana yake, kila mtu atoe kidogo dogo kwa kadiri ya uwezo wake. Huwezi kuamini kuwa Kuna watu wanachangia hadi TZS 100, 200, 500, 1,000 nk. Hakuna anayetoa...
10 Reactions
21 Replies
235 Views
MAMBO 7 NILIYOJIFUNZA KUPITIA MAANDAMANO YA 29 OKTOBA 2025 Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. HASIRA ZA WANANCHI PEKEE HAZITOSHI KUANGUSHA SERIKALI. Maandamano yanaweza kuonyesha ukubwa wa...
0 Reactions
3 Replies
64 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…