David Jumbe ambaye ni Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu aeleza kilichotokea katika tukio la kutekwa kwake jana usiku tarehe 20 Mei 2026.
Video inakuja
Kuna mambo ukijiuliza unabaki na uzuni. Siasa za vyama upinzani afrika tumeshindwa kuwa wastarabu ni bora vyama vya upinzani vifutwe ?Hii inaonyesha afrika hatuna huwezo wa kuvumilia mawazo...
Sasa kama Drogba na Rio hawapost chochote kuhusu ziara zao Tanzania kwenye kurasa zao kwenye mitandao ya kijamii si ni sawa na wale wanawake wanaokula hela za majamaa huku utamu hawatoi? Hizi...
Wakuu nipo barabarani muda huu,
Ama kwa hakika maisha yamebadilika.
School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.
Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.
This is pure madness, there is no...
Mwandishi wa Habari Mkongwe, Salim Ahmed Salim amesema "Hivi sasa tukubali au tusikubali, tunapelekwa kuwa 'a not talking nation', nchi ya watu mabubu."
"Naweza kusema, tena I'm proud kusema...
Ukiangalia mambo yanavyoenda nchini ni shaghala bagala mara bunge la marekani la seneti limesema hivi, mara kuna kiongozi wa chadema katekwa nyumbani mwake, mara polisi wamezunguka ofisi za...
Ni jana jioni baada ya kujisikia vibaya nikaamua niende kupata matibabu kwenye hospitali ya binafsi(Private) ambayo ipo jirani na ninapoishi maeneo ya Mbezi Beach. Daktari aliniandikia dawa na...
Dhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale.
Lakini pia nani...
Huu hapa chini ndio ujumbe alioutoa Hilder Newton kupitia Mtandao wa X:
Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni, watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema atamshauri Mwenyekiti wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Balozi Modest Jonathan Mero, kupunguza...
Uhusiano wa Tanzania na washirika wake wa maendeleo na kidiplomasia kote ulimwenguni ikiwa ni pamoja na serikali ya Marekani, Umoja wa Ulaya EU, Urusi, Japan, China n.k ni mzuri sana na unaendelea...
Tulishaandika Humu na kwingineko kitambo tu, tena kwa kusisitiza , Kwamba kuisambaratisha ccm hakuhitaji muda Mrefu, Hawa Watu ni wepesi kuliko pamba ya Shinyanga
Hakuna kiongozi Yeyote wa ccm...
Leo Waziri wa Ujenzi ameliomba Bunge kupitisha TZS 2.564 trilioni kwa mwaka 2026/27.
Lakini kabla Bunge halijapitisha, kuna tatizo moja la msingi linalohitaji ufafanuzi:
📍 Mei 2025, Wizara...
Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa...
Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa...
Asalam Aleykum wapenzi wana JF,
Wakati nafuatilia mchakato wa kumpigia chapuo Raila Odinga ili awe Mwenyekiti wa umoja wa Afrika, Mh. Ruto alifanya hafla na kuwaalika viongozi mbali wa Kiafrika...
Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana...
Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump
Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku...
Mliokuwa mnasema Paul Makonda huwa haongei kingereza hapa ni wapi?
WAziri Makonda akizungumzia ujio wa Ferdinand ambaye amewasili Mei 19, 2026 amesema atakaa nchini kwa siku 3 na atatembelea...