Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,771
- 7,431
Ukiangalia mambo yanavyoenda nchini ni shaghala bagala mara bunge la marekani la seneti limesema hivi, mara kuna kiongozi wa chadema katekwa nyumbani mwake, mara polisi wamezunguka ofisi za chadema na mengine mengi na ndo hali ya Tanzania no uncertain ndo aina mpya ya maisha
Lakini hii hali ilikuwa maarufu sana wakati wa magufuli nikimaanisha sio kwamba utekaji ni jambo jipya hapana sio jambo jipya lipogi tokea wakati wa ukoloni ila wakati wa utawala wa magufuli utekaji umekuwa normalize mpaka leo sahivi mtanzania yeyete akisikia utekaji hawezi Shangaa wala kushtuka hatupendi utekaji ila imekuwa jambo la kawaida huu ndo ukweli mchungu
Navyosema ccm haitafika 2040 ntakupa na sababu
Huwezi endelea kuwaongoza watu kukiwa na political crisis kubwa hivi lazima utafeli na kuanguka vibaya sana inakua ni ngumu sana kufocus na maendeleo kwa kuwepo kwa hii political crisis sio afya kwa taifa-ntakupa na mifano miwili kwanini ccm haitafika 2040
Mfano wa kwanza
Mwishoni mwa miaka ya 1980's utawala wa hyberimana ulipitia mkwamo mkubwa sana wa kisiasa nchi ilikuwa haitawaliki sababu Rais alikuwa anaongea hivi ila kuna watu wakiwemi interharahamwe walikuwa wanajiamulia bila hata kumsikiliza Rais
Hyberimana alikuwa anataka kumaliza mkwamo wa kisiasa na waasi wa kihutu alikuwa ana nia nzuri ila waliomzunguka walikuwa hawataki kusikia hilo jambo na kwa sababu walikuwa wanajeshi na polisi basi waliamini hawawezi kufeli ila mwisho wa siku walijikuta wapo DRC kama wakimbizi wali-ignore sign zote za mabadiliko na mwisho wa siku wakaja kuahibika
Mfano wa pili
Mwaka 2011 middle East kulitokea vuguvugu la mbadiliko mhanga mmoja wapo ni bashar Al assad ila kwa sababu iran na baadae Russia walimkingia kifua kijeshi kwa hiyo bashar Al assad aliweza kubakia madarakani ila hakutaka kusoma alama za nyakati ile ni wake up called aka-ignore miaka 14 baadae bashar Al assad amekuja kuondelewa huku wanajeshi walewale aliokuwa akiwatumia wakimgomea wamechoka na wao mwisho akajikuta yupo Russia na Syria haipo tena mikononi mwake
Mifano ipo mingi sana naweza toa lakin haya yanayotokea kwa ccm ni wake up called wanatakiwa kubadilika ila kwa bahati mbaya wanaignore ila wanasahau "history have a tendency of repeat itself"