Kwa Ufupi: Jitihada za Kuikwepa ICC zinaendelea....

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,251
Reaction score
44,586
Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.

Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.

Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.

1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake

2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!

3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.

Jitihada hizi nazo zitafeli....
 
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!

Halafu namna wanavyoleta sarakasi ndivyo wanavyozidi kujivua nguo na kudharauliwa
 
Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!
 
Kinachofanyika ni utiifu wa sheria, matokeo ni suala lingine.
 
Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.

Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.

Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.

1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake

2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!

3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.

Jitihada hizi nazo zitafeli....
Swali langu ni moja Samia anajua Escalation anayofanya nchini
 
Bila kumtaja aliyetoa order ya shoot to kill, polisi na usalama walioua waandamanaji, IGP, CDF, aliyezima mitandao, Tume ya uchaguzi, ofisi ya usajili, baadhi ya wakuu wa mikoa, wilaya, baadhi ya OCDs na watekelezaji wote, hii tume nayo itakataliwa na jamii.
 
Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.

Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.

Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.

1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake

2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye vanished uchunguzi mwingine!!

3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.

Jitihada hizi nazo zitafeli....
Report haikukidhi, usitegemee kama hii tume itakidhi

Watazunguka pale pale blame marehemu, blame vijana, blame upinzani
 
Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.

Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.

Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.

1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake

2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!

3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.

Jitihada hizi nazo zitafeli....
The bi+ch continues to kick the can down the road, delusionally believing that the problem will eventually go away or squarely be blamed on someone else (or others)!
 
Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.

Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.

Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.

1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake

2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!

3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.

Jitihada hizi nazo zitafeli....
nonsense 🐒
 
Hatukwepi kitu, but we are trying to show the world that we are doing something, and not necessarily doing the right thing
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze viwango vya kimataifa vya upelelezi na kuonesha pasi ya shaka nani alihusika na ushahidi huo uwekwe hadharani na watu wakutwe na hatia.
Ni kweli, but not necessarily wakutwe na hatia, Tanzania sheria zetu tunatumia, common law, the standard of proof is very high!, ili mtu akutwe na hatia, it has to be proved beyod reasonable doubt, hakuna mtu anaweza kumtambua ni polisi gani alimuua nani, hivyo wataachiliwa by the beneft og doubt. Labda polisi wenyewe ndio watoe ushahidi nani alimuua nani.

Kwenye ile kesi ya uhaini ya 1982, mwanzo waliwashitaki watu 47, kisha wakatoa msamaha kwa watakao confess. Wale walio confess wakawa PW, walioshitakiwa wakabaki 23.

Hakuna rais wataojitokeza kutoa ushahidi, hivyo hii ni Tume nyingine ya dekio tuu, kama nilivyoshauri hapa, Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi hili.
Usiwe na mashaka, be positive.
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
Muunda tume ndio mhojiwa number 1!,
Mhojiwa wa pili ni aliyetoa amri ya shoot to kill.
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao watatuambia wanapendekeza DPP naye aanzishe uchunguzi mwingine!!
Hii ni tume ya kuchunguza kama kuna jinai, wakikuta jinai, ndipo
1. Ofisi ya DCI itafanya uchunguzi, wakipata ushahidi ndio wanaupeleka kwa DPP
2. Ofisi ya DPP inaandaa mashitaka, na kutoa arrest warrant
3. Wanapelekwa mahakamani
3. Ili mchakato wake uaminike ni lazima iwe huru kweli kumhoji na kumleta mbele ya Sheria mtu au kikundi cha watu wowote waliohusika na mauaji.
Hili litafanyika.
Jitihada hizi nazo zitafeli....
Mkuu Mzee Mwanakijiji, be optimistic than pessimist

P
 
Back
Top Bottom