Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tukio hilo limedaiwa kutokea jana jijini Arusha baada ya gari la matangazo la CHADEMA kugongana na gari la abiria coastal maarufu inaitwa Wamusoma linalofanya safari za Arusha Mjini kwenda...
0 Reactions
4 Replies
207 Views
Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli...
3 Reactions
5 Replies
228 Views
Msigwa na Sugu ni kambi mbili tofauti ndani ya Chadema kwasababu Msigwa ni adui namba moja wa Bestfriend wa Sugu, William. Nikauliza kijiwe vipi hali ikoje? Wakaniambia wao wanaamini Msigwa...
1 Reactions
7 Replies
216 Views
  • Redirect
Kuna mtu ukimuona unayaona mamlaka ndani yake, unauona uongozi, busara na hekima za kuwaongoza watu Kuna mtu akiongea unauona mwongozo, unayaona maelekezo, unaliona suruhisho la matatizo na...
8 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwanza kabisa nikuambie ukweli waziri mkuu upo hapo kwenye hicho kiti lakini Watanzania wanakuchukia sana. Unahusishwa na ufisadi mwingi. Kumiliki mabasi yanayofahamika huku wewe ni kiongozi wa...
2 Reactions
Replies
Views
Na wahakikishia, hata itokee Leo hiii Lissu Yuko Nje, HATUA YA KWANZA NI KUKUTANA NA PETER MSIGWA !!.
3 Reactions
10 Replies
215 Views
Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko. Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai...
1 Reactions
1 Replies
131 Views
Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha...
2 Reactions
10 Replies
198 Views
Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema. Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii. Siasa inagusa Maisha ya...
6 Reactions
19 Replies
275 Views
Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri. Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha...
17 Reactions
39 Replies
577 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili. "Tunagombanishwa mno. Watu...
1 Reactions
138 Replies
3K Views
Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano. Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi. Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga...
6 Reactions
8 Replies
216 Views
. Huyu bwana haoni haya kudanganya. Anaropoka chochote anashusha hadhi ya waziri mkuu hizo cheap propaganda amwachie kihongosi
6 Reactions
8 Replies
191 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa tumaini na nguzo imara ya Taifa letu kupitia sera, falsafa na dira inayoweka mbele maslahi ya Watanzania. Kwa miaka mingi, CCM imebeba dhamana ya...
1 Reactions
12 Replies
163 Views
Hebu tumalize propaganda na uongo wa Chadema, Hivi chama kilicho moyoni mwa Watanzania 70M ndio hiki chenye wanachama halali LAKI NNE na ELFU TATU NA THEMANINI NA TATU (403,083) kwamjibu wa...
1 Reactions
5 Replies
166 Views
Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako. Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi . Msigwa una uwezo, sitaki...
8 Reactions
35 Replies
549 Views
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea...
7 Reactions
38 Replies
645 Views
Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani. Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu. Unakuta taka zina nailoni mbali mbali...
4 Reactions
35 Replies
391 Views
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga...
8 Reactions
90 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…