Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 564
- 528
Hebu tumalize propaganda na uongo wa Chadema, Hivi chama kilicho moyoni mwa Watanzania 70M ndio hiki chenye wanachama halali LAKI NNE na ELFU TATU NA THEMANINI NA TATU (403,083) kwamjibu wa Database rasmi ya Chadema inayotunza taarifa za wanachama?
Peter Msigwa ni mwanachama wa mwisho kusajiliwa hii leo na anatimiza idadi hiyo ya wanachama!
Je hiki ndio chama kilichomoyoni mwa watanzani? Au moyoni maana yake nini ikiwa hauna wanachama halali? Nafikiri ndiomaana leo hata wanaccm kama Mange Kimambi, Maria Sarungi na Diaspora waliowengi ndio wanaongoza chama kwakuwa uanachama wa chadema pengine hautambuliwi kwa kadi bali matusi.
Msajili atusaidie, hiki chama kimepeleka taarifa za idadi ya wanachama wake? Zinaendana na hizi taarifa rasmi walizo nazo kwenye database yao au wamegushi na kusema wana wanachama milioni 60?
Nakiona kisu cha msaj
ili…..😂