Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 506
- 487
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa tumaini na nguzo imara ya Taifa letu kupitia sera, falsafa na dira inayoweka mbele maslahi ya Watanzania.
Kwa miaka mingi, CCM imebeba dhamana ya kulinda amani, kuimarisha umoja na kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania mbele.
Ni dhahiri kuwa kupitia uongozi wenye uzoefu, rasilimali watu pamoja na mipango na mikakati yenye matokeo, CCM kitaendelea kuwa ni chama imara chenye uwezo wa kusimamia Tanzania yenye amani, umoja, mshikamano na maendeleo endelevu kwa kizazi cha sasa na badae.
Kazi na utu Tunasonga mbele