Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa Kada wa CHAUMMA, Patrick Assenga ametangaza kukihama chama hicho na kurejea Chama CHADEMA ambacho kimsingi ni chama alichokitumikia kwa miaka mingi kabla ya kuhama hapo Akizungumza na...
9 Reactions
75 Replies
1K Views
Nimesikiliza Wabunge na hata waziri wa mambo ya nchi za nje wakipiga kelele Bungeni kuhusu tishio la vikwazo vya USA kwa viongozi wa CCM na watendaji wengine. Wamefika hata kudai kuwaleta viongozi...
12 Reactions
35 Replies
674 Views
Zile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani? Tujiulize.!
3 Reactions
12 Replies
274 Views
Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa. Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote...
1 Reactions
17 Replies
225 Views
CCM naendelea kuwakumbusha huu ni mwanzo tu mtalipia damu mlizomwaga za watanzania. Nawakumbusha damu huwa inalipwa kwa damu huu ni mwanzo tu. Nawashauri kabla ya mambo hayajakuwa...
11 Reactions
17 Replies
391 Views
Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa...
1 Reactions
28 Replies
488 Views
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo. Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi...
14 Reactions
175 Replies
5K Views
Miaka ya 70's huko viongozi wa Africa walikuwa wakishashinda uchaguzi wanahamia Ulaya kula Bata huku wakiacha nchi zao zikiongozwa na vivuri vyao tu, Ni kitendo cha aibu kiongozi mhaini kuendelea...
0 Reactions
37 Replies
593 Views
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa. Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
2 Reactions
52 Replies
917 Views
Nichukue fursa hii kumpongeza Mhe.Waziri Mkuu Kijana Mwigulu Nchemba kwa kuanza kuanika japo kwa uchache kilichopo nyuma ya pazia. Ni muda mrefu humu tumesema juu ya mwenendo usio na afya kwa...
0 Reactions
22 Replies
389 Views
Katika hotuba yake kwa wazee wa Dar esSalaam Rais samia amegusia juu ya lilioitwa "Jaribio ovu" dhidi ya Serikali halali ya Tanzania ambalo lilifanyika siku muhimu ya uchaguzi oktoba 29 - 2025...
2 Reactions
4 Replies
199 Views
  • Featured
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye...
12 Reactions
166 Replies
9K Views
Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Rakesh Rajani NEW YORK, The Ford Foundation today announced the appointment of Rakesh Rajani as director of Democratic Participation and Governance. Mr. Rajani, a global leader on issues of...
14 Reactions
37 Replies
6K Views
Bado kuna hulka waliyonayo walami kwa kuhisi kuwa mambo ya ndani ya nchi za kiafrika yanaamuliwa huko ughaibuni ...hulka hii chafu ya kikoloni mambojana yapaswa kukemewa na kufutwa kwa nguvu zote...
8 Reactions
145 Replies
10K Views
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS. kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE. Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea...
2 Reactions
30 Replies
411 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…