Rais Samia aendelea kuonesha umoja wa kitaifa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
580
Reaction score
546
20260527_141257.jpg

Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa.

Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali tofauti za kiimani au vyama vya siasa.

Hii ndiyo tafsiri halisi ya uongozi unaounganisha watu, unaojenga utu na kuhimiza amani. Mama Samia anatosha; anabeba kila kundi kwa moyo wa upendo na taifa kwanza.
 
View attachment 3595868

Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa. Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali tofauti za kiimani au vyama vya siasa. Hii ndiyo tafsiri halisi ya uongozi unaounganisha watu, unaojenga utu na kuhimiza amani. Mama Samia anatosha; anabeba kila kundi kwa moyo wa upendo na taifa kwanza.
Ni muuaji kwa uchu wa madaraka fullstop.
 
ujasiri na umadhubuti wa Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya CCM, ndio msingi wa umoja, amani na usalama wa taifa letu Tanzania.

viva Dr Samia Suluhu Hassan viva 🔥👊
 
Ujasiri wa kuua na kulawiti na ujasiri kwa kuiba ameua umoja na Amani na usalama wa nchi yetu na bado machawa mnamdanganya.
 
View attachment 3595868

Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa.

Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali tofauti za kiimani au vyama vya siasa.

Hii ndiyo tafsiri halisi ya uongozi unaounganisha watu, unaojenga utu na kuhimiza amani. Mama Samia anatosha; anabeba kila kundi kwa moyo wa upendo na taifa kwanza.
Mteule wa Mungu hawezi kuwa mchafu hivi na mwenye laana ya damu
 
Leo hajaingia msikitini na body guard mwanaume aliyevaa niqab?
 
View attachment 3595868

Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa.

Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali tofauti za kiimani au vyama vya siasa.

Hii ndiyo tafsiri halisi ya uongozi unaounganisha watu, unaojenga utu na kuhimiza amani. Mama Samia anatosha; anabeba kila kundi kwa moyo wa upendo na taifa kwanza.
Screenshot_20260508-212916~2.png
Screenshot_20260527-150832~2.png
Screenshot_20260520-120305~2.png
 
Taifa hili halitakuwa moja na lenye umoja baada ya yote yaliyofanywa na serikali hii dhalimu ile Oktoba 29
 
ujasiri na umadhubuti wa Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya CCM, ndio msingi wa umoja, amani na usalama wa taifa letu Tanzania.

viva Dr Samia Suluhu Hassan viva 🔥👊
Khasss sirikali haramu...imejaa damu wasio hatia
 
ujasiri na umadhubuti wa Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya CCM, ndio msingi wa umoja, amani na usalama wa taifa letu Tanzania.

viva Dr Samia Suluhu Hassan viva 🔥👊
Mnajibizana wenyewe Kwa wenyewe kama mazuzu mawili yamefungiwa chumba kimoja.
 
Back
Top Bottom