Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye...
12 Reactions
166 Replies
9K Views
Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Rakesh Rajani NEW YORK, The Ford Foundation today announced the appointment of Rakesh Rajani as director of Democratic Participation and Governance. Mr. Rajani, a global leader on issues of...
14 Reactions
37 Replies
6K Views
Bado kuna hulka waliyonayo walami kwa kuhisi kuwa mambo ya ndani ya nchi za kiafrika yanaamuliwa huko ughaibuni ...hulka hii chafu ya kikoloni mambojana yapaswa kukemewa na kufutwa kwa nguvu zote...
8 Reactions
145 Replies
10K Views
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS. kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE. Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea...
2 Reactions
30 Replies
411 Views
Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na...
-1 Reactions
37 Replies
376 Views
CHADEMA ianze kuandaa mkakati wa kuandaa viongozi ambao watakuja kuwatikia wananchi wa Tanganyika na kulinda rasilimali za Watanganyika. Vita vya namna yoyote ile huwa vinapiganwa in the field...
7 Reactions
9 Replies
247 Views
Kuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila...
11 Reactions
52 Replies
881 Views
Mimi Wasouth Afrika nimetokea kuwapenda sana huwezi kubali kuona watu wanakuja tu nchini kwako kinyeji hawajulikani huko walipotoka wameondokaje àlafu ukasema una nchi hapana Viongozi wakiafrika...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake. Je, Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama...
3 Reactions
30 Replies
388 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na kuchochea...
1 Reactions
4 Replies
343 Views
Ni kwasababu ya kukosa agenda mahususi, kuokosa hoja au ni kwasababu ya ombwe la uongozi bora ndani ya chama hicho kilichopoteza uelekeo wa kisiasa nchini? Maana chama kimegubikwa na uropkaji na...
2 Reactions
45 Replies
513 Views
Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania. ..Nimesikiliza mahojiano kati ya Mh.Tundu...
35 Reactions
131 Replies
16K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa ITV kuwa ndio the first mainstream TV Station kumhoji Tundu Lissu. Huu ni mwanzo mzuri, TV nyingine zifuate. Pia nampongeza Mhe. Tundu Lissu kuzungumza...
33 Reactions
158 Replies
20K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli...
82 Reactions
601 Replies
81K Views
Wanabodi, Kanuni ya Kuu ya Kwanza kwa mwanahabari yoyote ni to tell nothing but the truth. Naomba kuitumia kanuni hii kuwaambia Chadema, they were wrong!, walikosea!. Ukikosoa makosa yoyote, toa...
23 Reactions
522 Replies
55K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…