Ameandika Mch. Peter Msigwa
Historia inaonyesha:
Mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali ,
Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi...
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma Mwenyewe alichoandika mchungaji peter Msigwa,ambaye ameonekana kuwa na furaha kubwa sana tangia ameingia na kujiunga na CCM.muda wote anaonekana ni Mwenye tabasamu...
Wakuu
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini...
Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan
Pia...
Baada ya Mwenyekiti wa Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo, leo Mei 23, 2026 kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya Mbunge wa Kigoma Mjin Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) ikiwemo kudai kuwa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya...
Kwa maelezo ya Djumbe na rafiki yake, jumlisha na alichokisema Golugwa, ni kuwa kuna list ya watu wapo kwenyw Blackbook, wanafuatiliwa mm9ja baada ya mwingine, anayeagiza hayo ni mtu mmoja (ambaye...
Mwigulu hakustahili kua hata Mbunge ukiacha kua waziri mkuu sema kwasababu ni mwanamtandao basi yuko pale kwasababu ya Jakaya Kikwete. Waziri mkuu Unawezaje kusimama na...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari...
Pembezoni mwa Hombolo Dam serikali ilikuja na project ya kupanda miti
Na kukafanyika uzinduzi, mahema , misafara ya viongozi. Kumbuka hekaheka zote hizi zinafadhiliwa na pesa za walipa kodi...
Hakuna jambo baya kama kukataliwa. CCM ilivyokumbana na dhoruba ya kukataliwa Zanzibar miaka ile ya awali ya vyama vingi ya 1995 haikuamini. Ilifanya makosa ambayo leo hii kwenye miaka ya 2018...
Wanabodi,
Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni...
Ndugu zangu Watanzania Wazalendo kuna wakati tunapaswa kusema ukweli kuhusu mwenendo wa baadhi ya siasa zinazofanywa na Ufipa kwa sababu Taifa letu lina thamani kubwa kuliko maslahi ya kisiasa ya...
Wanabodi
Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa...
Mbunge wa Jimbo la Welezo Zanzibar, Asma Ali Hassan Mwinyi ameishauri Serikali kuanzisha sera ya likizo ya hedhi 'Menstrual Leave Policy' kwa wanawake wanaopata maumivu makali wakati wa hedhi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia...
Tutajenga na kuweka Barabara nyingi Taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya AFCONMkwa mfano hii Dar na Arusha tu peke yake matarajio yetu ni taa za karibu Bilioni 40, na hii ni mipango tu, na...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia...