Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

-- Uvujaji wa ripoti ya siri ya kipekee (Exclusive) kutoka jarida la kimataifa la Semafor ya tarehe Mei 20, 2026, umeweka Tanzania katikati ya jukwaa la vita vipya vya kijiografia. Muswada wa...
18 Reactions
49 Replies
2K Views
Kuhusu Demokrasia, Uchaguzi na kinachoendelea Tanzania, Muswada huu ambao umetengenezwa na Seneta Ted Cruz na Shaheen unasema yafuatayo: (1) Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi wake...
17 Reactions
39 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/F26wOjys36A?si=1PcO6uI7Cfci1rwJ Abdul Nondo amezungumza hayo leo Mei 23, 2026 Jijini Dar es Salaam. kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel , Riverside Ubungo. KUFUNGUA...
5 Reactions
8 Replies
337 Views
Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo; 1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia? 2. Ni mambo gani...
4 Reactions
4 Replies
140 Views
Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina...
6 Reactions
11 Replies
178 Views
Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu...
2 Reactions
1 Replies
144 Views
== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo maarufu zaidi cha utangazaji cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema haya...
11 Reactions
114 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu, " Bajeti...
26 Reactions
177 Replies
7K Views
Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa. Kafulila anasema ikiwa Taifa...
18 Reactions
121 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu, " Kwanza ni kweli kwamba...
31 Reactions
161 Replies
6K Views
=== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 amefafanua haya, Kabla ya Mhe Rais Dkt...
17 Reactions
140 Replies
5K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) umekuwa ukipingwa na baadhi ya watendaji wa Serikali na...
2 Reactions
7 Replies
198 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es...
0 Reactions
8 Replies
292 Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt za FREE TUNDU LISSU Kwa mujibu wa mtoa...
1 Reactions
Replies
Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili...
0 Reactions
53 Replies
997 Views
Uko uzi humu JF wenye ushahidi wa matusi ya bwana Kasesera akiwa hadharani, Ila ushadhibitiwa na wenye jukwaa Je wakati huo Bwana Nyahoza alikuwa kiziwii au hakuwa anatumwa?
8 Reactions
28 Replies
512 Views
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya...
17 Reactions
37 Replies
980 Views
Familia ya marehemu kachero mbobezi Benard Membe imeingia kwenye mgogoro mkubwa wa kugombea mali za Membe, ikumbukwe Benard Membe amefariki mwaka 2023 tu na tayari Familia yake wanapelekana polisi...
17 Reactions
84 Replies
3K Views
Kwamba kabla hawajafungiwa akaunti zao za nje je,hawawezi kuzichepusha ili zisifungiwe hususani kipindi hiki wakati mchakato wa utekelezaji wake unasubiriwa?
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…