Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gwajima leo nimemfatilia nimegundua hapa hakuna mtafiti ni utopolo na ujinga na sifa mdio vinamsumbua Ibada nzima ilikua ni sifa kwa Rais samia tu, means ameshashtuka kuona ibada ilivyopita...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Sijawahi kuanzisha uzi hapa lakini baada ya kusikiliza clip ya Gwajima jana nilikereka sana na uongo wake. Hakuna Shirika linaitwa emergency drug authorization USA kuna FDA Food and Drug...
15 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna upungufu wa wagonjwa hospitalini hasa wazee na watoto. Wanafunzi wanarejea nyumbani badala ya kupelekwa hospital wanapoumwa. Muda wanaotumia wanafunzi kufuatilia bima ya afya ni mwingi kuliko...
1 Reactions
0 Replies
532 Views
Wanabodi, Huwa kunatokea mijadala ya chini chini kuhusu hali ya afya ya viongozi wetu wa kisiasa, kukiwa na ukinzani kuhusu hali ya muonekano kwa macho, na hali halisi ya afya ya kiongozi...
6 Reactions
93 Replies
14K Views
Wanabodi, Azimio la Bunge kuhusu Escrow, limetolewa leo, na mjadala wa Escrow, umefungwa rasmi, wakati mjadala huu unaanza, nilisema humu, Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanabodi, Jana katika maadhimisho ya miaka 53, Mhe. Edward Lowassa alitajwa na watangazaji wetu kama Waziri Mkuu Mstaafu. Kwa vile Lowasa hakustaafu kwa mujibu wa sheria, bali alijiuzulu, hivyo...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi. Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa...
12 Reactions
2K Replies
278K Views
Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
...Yule Aliyepangiwa na Mungu!. Wanabodi, 2015 ndio hii, mimi ni miongoni mwa tuliojibainisha wazi, kumkubali Edward Lowassa as "The One and Only" Best President this country can ever have apart...
23 Reactions
172 Replies
35K Views
Kumekuwepo na mfululizo wa watu ambao ni makada wa CCM kuikosoa mahakama ambao unapaswa kuwa mhimili wa kutoa haki katika nchi za kidemokrasia. Kauli ya hivi karibuni ya Makonda kuhusu utendaji...
0 Reactions
5 Replies
581 Views
Waziri wa Tehama ndugu Nape amesema Mapinduzi ya Tehama ambapo Akili bandia zitapunguza Ajira hayakwepeki ila tuyachukulie kama Fursa Nape amesema ni Wakati sasa bunge kutunga sheria ya...
1 Reactions
9 Replies
618 Views
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo. Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally. Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo...
44 Reactions
3K Replies
446K Views
TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na...
1 Reactions
11 Replies
641 Views
Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Unaambiwa Joto la Maandamano ya Amani ya tarehe 15 /02/2024 yatakayofanyika Jijini Mwanza limepanda kwa kiasi ambacho Vipima joto vimeshindwa kulisoma. Taarifa za sasa zinadokeza kwamba wadau...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
17 Reactions
177 Replies
30K Views
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji Sasa nakutonya, uko kwenye...
24 Reactions
66 Replies
5K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State...
1 Reactions
3 Replies
717 Views
  • Poll Poll
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa? Jibu Ndio/Hapana/Sijui Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na...
7 Reactions
697 Replies
65K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…