Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,616
Wanabodi,
Jana katika maadhimisho ya miaka 53, Mhe. Edward Lowassa alitajwa na watangazaji wetu kama Waziri Mkuu Mstaafu.
Kwa vile Lowasa hakustaafu kwa mujibu wa sheria, bali alijiuzulu, hivyo everytime anapokuwa addressed kama Mstaafu, kuna watu roho zao zinawauma, wangependa aitwe "Waziri Mkuu Mjiuzulu!", na from time to time zinaibuliwa topic humu kuuliza hivi mjizulu naye ni mstaafu?!.
Nakiri kuanzisha uzi huu baada ya kuwa inpired na mwana jf huyu wa hii topic, Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?
Lugha yetu ya Kiswahili, ina upungufu wa misamiati, hivyo mtu aliyejuizulu, anaitwa mstaafu, mtu aliye staafu, anaitwa mstaafu, na mtu aliye ngatuka anaitwa mstaafu!.
Tafsiri ya wengi wanadhani ili kuitwa mstaafu, ni lazima utumikie hicho cheo hadi muda rasmi wa kustaafu utimie!, no way!, hata ukihudumu kwenye uwaziri mkuu kwa siku moja, kesho yake ukatimuliwa kazi, bado utaitwa ni waziri mkuu mstaafu,
Ila kwa vile lugha inakuwa, tunaweza kabisa kutunga msamiati wa Mjiuzulu, Mstaafishwa, na hata Mtimuliwa!.
Baba wa Taifa aliitwa Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, hakumaliza muda wake, alingatuka!, hivyo badala ya kuitwa Mwenyekiti Mstaafu, angeitwa "Mwenyekiti Mngatuka!", Nyerere ndiye alikuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika huru, ile December, 1961 tulipopata uhuru, ilipofika 1962, nchi yetu ikawa Jamhuri, hivyo Nyerere kwanza alijiuzulu uwaziri mkuu, ndipo akawa rais wa Tanganyika, lakini hakuna msamiati wa "Waziri Mkuu mjiuzulu", aliitwa ni Waziri Mkuu mstaafu!.
Sokoine hakustaafu, alifariki akiwa kazini, kwenye listi ya mawaziri wakuu wastaafu, jina la Moringe Sokoine lipo, hakuna msamiati wa "Waziri Mkuu Mfariki",
EL alijiuzulu mwenyewe kwa nafsi yake, hivyo ni mstaafu kama wengine!,
Na kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, hebu pitieni hapa!.
[/SIZE]
Kawawa aliachia kabla ya muda wake, na bado iliitwa Waziri Mkuu Msataafu!.
Msuya aliondolewa!, lakini bado anaitwa Msaafu!,
Malecela aliondolewa tena kwa kuboronga!, lakini bado anaitwa mstaafu!,
Full term ya PM ni miaka 5, hivyo mawaziri wakuu waliohudumu kwa full term ni wawili 2, Sinde Warioba na Sumaye, ambao hawa ndio wangeitwa Wataafu" halali, wengine wote ama walijiuzulu, walingolewa, walipumzishwa, walistaafishwa etc!.
Neno mstaafu kwa mujibu wa full term kwa Kiingereza ni retired, kwa kiswahili ni Mstaafu.
Kiingereza ukijiuzulu kama alivyojiuzulu EL aliitwa "Resigned", kwa Kiswahili ni Mtaafu.
Waziri Mkuu aliyetimuliwa kama Malecela, Kiingereza wangemuitwa "Sucked PM", Kiswahili ni Mstaafu.
Kawawa, Msuya na Salim, walipumzishwa, Kiingereza wangeitwa "Dropped!", Kiswahili ni wastaafu!.
Ila pia kujifurahisha nafsi yako kupo na ni ruksa unaweza kumuita vyovyote vile ili nafsi yako ifurahi, kama wale waliomua kujifarahisha kwa kujidai hawamtambui JK kama ni rais wa JMT!, mtu akiisha tangazwa kuwa ni rais, that is a fact, umtambue, usimtambue, its not gonna change the fact kuwa ndie rais!.
The fact is, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, ni Waziri Mkuu Mtaafu wa Tanzania!.
Kubali, kataa, it never gonna change cha facts!. Facts will remain facts!.
Pasco
NB. Mode, kule lilikuwa swali, hii topic sio swali ni factual!.
Jana katika maadhimisho ya miaka 53, Mhe. Edward Lowassa alitajwa na watangazaji wetu kama Waziri Mkuu Mstaafu.
Kwa vile Lowasa hakustaafu kwa mujibu wa sheria, bali alijiuzulu, hivyo everytime anapokuwa addressed kama Mstaafu, kuna watu roho zao zinawauma, wangependa aitwe "Waziri Mkuu Mjiuzulu!", na from time to time zinaibuliwa topic humu kuuliza hivi mjizulu naye ni mstaafu?!.
Nakiri kuanzisha uzi huu baada ya kuwa inpired na mwana jf huyu wa hii topic, Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?
Wana Jf habari zenu,huwa nafikiria ni kwa nini lowassa anaitwa waziri mkuu mstafu huku aliondoka ktk cheo hicho kutokana na skendo za rushwa?.ustaafu wake unakuwa vp? Naomba kufahamishwa.
Lugha yetu ya Kiswahili, ina upungufu wa misamiati, hivyo mtu aliyejuizulu, anaitwa mstaafu, mtu aliye staafu, anaitwa mstaafu, na mtu aliye ngatuka anaitwa mstaafu!.
Tafsiri ya wengi wanadhani ili kuitwa mstaafu, ni lazima utumikie hicho cheo hadi muda rasmi wa kustaafu utimie!, no way!, hata ukihudumu kwenye uwaziri mkuu kwa siku moja, kesho yake ukatimuliwa kazi, bado utaitwa ni waziri mkuu mstaafu,
Ila kwa vile lugha inakuwa, tunaweza kabisa kutunga msamiati wa Mjiuzulu, Mstaafishwa, na hata Mtimuliwa!.
Baba wa Taifa aliitwa Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, hakumaliza muda wake, alingatuka!, hivyo badala ya kuitwa Mwenyekiti Mstaafu, angeitwa "Mwenyekiti Mngatuka!", Nyerere ndiye alikuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika huru, ile December, 1961 tulipopata uhuru, ilipofika 1962, nchi yetu ikawa Jamhuri, hivyo Nyerere kwanza alijiuzulu uwaziri mkuu, ndipo akawa rais wa Tanganyika, lakini hakuna msamiati wa "Waziri Mkuu mjiuzulu", aliitwa ni Waziri Mkuu mstaafu!.
Sokoine hakustaafu, alifariki akiwa kazini, kwenye listi ya mawaziri wakuu wastaafu, jina la Moringe Sokoine lipo, hakuna msamiati wa "Waziri Mkuu Mfariki",
EL alijiuzulu mwenyewe kwa nafsi yake, hivyo ni mstaafu kama wengine!,
Na kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, hebu pitieni hapa!.
[/SIZE]
Waziri Kiongozi wa Tanganyika | |||
Jina | Amechukua Ofisi | Ameondoka Ofisini | Chama |
Julius Kambarage Nyerere | 2 Septemba 1960 | 1 Mei 1961 | TANU |
Mawaziri Wakuu wa Tanganyika | |||
Julius Kambarage Nyerere | 1 Mei 1961 | 22 Januari 1962 | TANU |
Rashidi Kawawa | 22 Januari 1962 | 9 Desemba 1962 | TANU |
Nafasi Zilizoondolewa Tangu (9 Desemba 1962-17 Februari 1972) | |||
Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |||
Rashidi Kawawa | 17 Februari 1972 | 13 Februari 1977 | TANU |
Edward Moringe Sokoine | 13 Februari 1977 | 7 Novemba 1980 | CCM |
Cleopa David Msuya | 7 Novemba 1980 | 24 Februari 1983 | CCM |
Edward Moringe Sokoine | 24 Februari 1983 | 12 Aprili 1984 | CCM |
Salim Ahmed Salim | 24 Aprili 1984 | 5 Novemba 1985 | CCM |
Joseph Sinde Warioba | 5 Novemba 1985 | 9 Novemba 1990 | CCM |
John Malecela | 9 Novemba 1990 | 7 Desemba 1994 | CCM |
Cleopa David Msuya | 7 Desemba 1994 | 28 Novemba 1995 | CCM |
Frederick Sumaye | 28 Novemba 1995 | 30 Desemba 2005 | CCM |
Edward Ngoyai Lowassa | 30 Desemba 2005 | 7 Februari 2008 | CCM |
Mizengo Pinda | 9 Februari 2008 | CCM |