Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA, Amani Golugwa amesema kuwa chama kinatilia mashaka kuhusu kifo cha aliyekuwa dereva wa John Heche Mama mjane na wana Tarime naomba niwaambie jambo moja. Na...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Mwenyekiti wa CHAUMMA Jimbo la Tarime Mjini, Butiku Masaku Mwita maarufu kwa jina la Kapanya akizunguma leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...
2 Reactions
2 Replies
152 Views
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya...
4 Reactions
9 Replies
246 Views
SALAMU ZA RAMBIRAMBI Kwa huzuni na masikitiko makubwa natoa salamu za Rambirambi kwa msiba huu mkubwa kufuatia Kifo cha Ndugu yetu Suez Dani Maradufu aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
  • Redirect
Msikilize Mchungaji Kimondo
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwa siku kadhaa sasa, kumekuwa na taswira isiyo ya kawaida katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Katika makutano mengi ya barabara na maeneo muhimu, wameonekana askari wa Jeshi la...
2 Reactions
12 Replies
209 Views
  • Redirect
Akizungumza Msibani wa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo Julai 5, 2026, Mwenyekiti wa chama hicho kwa Jimbo la Tarime Mjini, Bashiri Abdallah Selemani...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani! Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA...
4 Reactions
6 Replies
154 Views
Mbunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe Joseph Kamonga, amesema wakazi wa Ludewa wameendelea kuweka juhudi kwenye kilimo hususani cha mahindi na kuiomba Serikali kuendelea kufikisha fedha kwenye...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au...
-1 Reactions
7 Replies
160 Views
Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona...
2 Reactions
9 Replies
163 Views
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa...
9 Reactions
25 Replies
673 Views
Habari za Sabato! Nimemsikia Polepole kwa undani kabisa. Kitu anachokifanya sikukielewa mapema lakini kwa hotuba yake ya leo nimeona mbegu anayoipanda imelenga kuotea wapi na kuzaa kitu gani Ni...
58 Reactions
217 Replies
12K Views
Wanabodi, Jumapili ya leo, niko hapa ukumbi wa hotel ya Peackock jijini Dar es Salaam, kuwaripotia live, Kikao Kazi Kati ya Wizara ya Nishati, TBPA, TPDC na Jukwaa la Wahariri, TEF, Kujadili...
2 Reactions
22 Replies
395 Views
Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ! Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis...
41 Reactions
813 Replies
43K Views
  • Redirect
Hili jeshi sasa rasmi limewekwa mfukoni na ccm. Hili ndo peke yake ilikua limebakiza heshima ya inchi. Sasa rasmi wanaimba wimbo wa ccm. Imagine wanaimba vitisho dhidi wanainchi wanaotaka...
1 Reactions
– Replies
– Views
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko...
3 Reactions
65 Replies
1K Views
SERIKALI KUKAMILISHA MCHAKATO WA KUUNDA HALMASHAURI YA MWIBARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itakamilisha mchakato wa kuunda Halmashauri ya Mwibara ili kusogeza huduma za...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
WAZIRI MKUU AZINDUA SHULE YA MSINGI KASOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Julai 4, 2026) amezindua Shule ya Msingi Kasoma, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, na kuipongeza...
0 Reactions
3 Replies
83 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…