Waziri Mkuu azindua shule ya msingi Kasoma

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
449
Reaction score
305
WAZIRI MKUU AZINDUA SHULE YA MSINGI KASOMA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Julai 4, 2026) amezindua Shule ya Msingi Kasoma, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, na kuipongeza halmashauri hiyo kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo unaozingatia thamani ya fedha.

Kwanini jina lisingekuwa Kusoma?japo kaubunifu kadogo tu,na yangeandaliwa mazingira ya kuwa shule bora kuendana na jina.Sasa niulize ni ipi maana ya jina Kasoma kikurya amaka maana ya jamii nyingine ya eneo hilo?
 
WAZIRI MKUU AZINDUA SHULE YA MSINGI KASOMA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Julai 4, 2026) amezindua Shule ya Msingi Kasoma, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, na kuipongeza halmashauri hiyo kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo unaozingatia thamani ya fedha.
Inasikitsha sana ,Trilioni moja nukta 2 ndiyo matumizi yake hayo....Hako kashule afisa elimu au diwani si angefungua tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom