Kinachofurahisha ni Kwamba kwenye Mjadala wa Bwawa la Nyerere na Mafuriko ya Rufiji Hata makamanda wa Chadema wako Upande wa Magufuli
Huko mitandaoni kila mwenye mapenzi Mema na Nchi Hii anasema...
Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa.
Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza.
Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile...
Wakuu,
Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa!
Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine...
Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu.
Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme.
Sipo...
Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha...
Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu...
Shauri hilo limefunguliwa na kijana Alphonce Lusako aliyetimuliwa UDSM mwaka 2011 na kufanyiwa njama asirejee tena chuoni hapo kinyume cha sheria za nchi na kinyume cha sheria za chuo chenyewe...
Akizindua idara ya kutunza taarifa binafsi, Rais Samia Aametoa muda hadi Disemba kuhakikisha Waziri Mkuu anasimamia mifumo yote ya Serikali kusomana...
MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.
Amesema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini...
Bilioni 1.7 Kulipa Posho za Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa
Serikali imeendelea kulipa posho za wenyeviti wa vijiji, vitongoji na mitaa ili kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo.
Kauli...
JUMUIYA YA WAZAZI SIHA IMEADHIMISHA WIKI YA WAZAZI KWA KUPANDA MITI ZAIDI YA 100 SHULE YA MSINGI MENDAI
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro...
Habari wana Jamvi,
Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua...
MBUNGE MIHAYO AKABIDHI SADAKA YA VYAKULA KWA WANANCHI ZAIDI YA 300 JIMBONI MWERA
Mwakilishi Jimbo la Mwera Mheshimiwa Mihayo Juma N’Hunga amekabidhi bidhaa za vyakula na fedha taslim kwa familia...
Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa...
Habari za mihangaiko wanabodi.
Wiki iliyopita mheshimiwa Rais alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo katika uteuzi huo tumeona watu mbalimbali wakitenguliwa na wengine wakipewa...
Uongozi mpya wa Chadema DSM umeahidi Ushindi wa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa
Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa Ilala, Kinondoni na Ubungo kwamba hakuna Mtaa utabaki CCM Baada...
Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale...
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa...