Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RC Makonda wa Arusha mafuriko yaliyotokea Arusha mjini hayajawahi kutokea siku za karibuni au pengine hayajawahi kutokea kabisa katika historia ya mji wa Arusha. Jiji la Arusha lina changamoto...
1 Reactions
1 Replies
718 Views
John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa...
2 Reactions
2 Replies
849 Views
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya...
17 Reactions
103 Replies
5K Views
Salaam Kumekuwa na tabia za Viongozi wa kiasa nchini kwetu kujiweka mbele sana kwenye majanga kama mafuriko na mengine. Kwanza, ni matumizi mabaya ya pesa za umma viongozi wengi kujazana sehemu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mpaka hapo Hilo bwawa limegeuka kuwa catastrophe Kwa Wananchi. Unaambiwa ikitokea bahati mbaya likavunja Kingo zake,Rufiji nzima itakumbwa na Mafuriko...
9 Reactions
206 Replies
11K Views
10 April 2024 MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024 RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA #NECijiuzulu #INECiingie Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi...
2 Reactions
6 Replies
783 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huna Sababu ya kupambana na mamlaka, nimekusoma Kule X Ushauri wangu kwako soma Marko 12:1-10 Mkulima mwenye shamba,utabarikiwa Eid...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
BALOZI NCHIMBI AKOSHWA NA MAFUNZO YA VIONGOZI WA KISIASA WANAWAKE NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amefurahishwa na mafunzo yanayotolewa kwa...
3 Reactions
2 Replies
505 Views
Kwa mujibu wa Mhandisi wa Tanesco ni kwamba kilichosababisha Mafuriko huko Rufiji ni Wananchi waliovamia mkondo wa Maji na Sio Bwawa la Nyerere. Mhandisi huyo mbobezi amenukuliwa akisema mwaka...
9 Reactions
54 Replies
5K Views
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity...
11 Reactions
42 Replies
3K Views
Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao. uchaguzi wa...
2 Reactions
0 Replies
361 Views
Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada...
41 Reactions
329 Replies
32K Views
Suala la kikotoo lilianza tangu kipindi cha awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete lakini zilitengenezwa mbinu fulani likahairishwa na mfupa akatupiwa Hayati Magufuli katika awamu ya tano. Pamoja na...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya...
16 Reactions
141 Replies
7K Views
Lucas Hapa kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata zamani palikuwepo Shule ya Sekondari ikiitwa Kinondoni Muslim aka Kimbweru na pembeni palikuwepo Msikiti mdogo na ofisi za Bakwata na kota chache za...
5 Reactions
8 Replies
518 Views
Tanzania Chini ya CCM ni Nchi ya Vichekesho.Utasemaje Tuna TUME HURU ya UCHAGUZI wakati Mwenyekiti wa Tume na Makamu Mwenyekiti wanateuliwa na MGOMBEA URAIS? TUMEBADILI JINA la TUME lakini TUME...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Bismilahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.P. 2055 DAR ES SALAAM. WARAKA WA IDD - Shawal 01, 1445 - April 10, 2024 Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…