Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais na Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu chini ya utawala wa Hayati Magufuli. Wakati huo mengi yalifanyika na hakuna siku wawili hawa waliwahi kupinga.
Baada ya Rais...
Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki...
Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa...
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina Sekondari 28, kati ya hizo 26 ni za Kata/Serikali na 2 ni za Binafsi (private). Wanavijiji...
TRA kuweni serious !
Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya...
Hili Neno la kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki linanikumbusha wakati wa uchaguzi wa 2020 Rais Magufuli aliwatangazia Watanzania kuwa Uchaguzi wa 2020 utakuwa huru na haki.
Yaliyojitokeza katika...
Hii ndio habari inayobamba huko biunga vya CCM Mbeya ,kwamba Spika wa Bunge na Rais wa Mabunge Duniani atakuwa mgombea pekee wa Jimbo la Mbeya Mjini Kwa time to ya CCM.
----------
Kauli ya...
Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI.
Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI?
Tiririka mawazo yako...
Serikalini watu wasiopenda rushwa, wanaoona mbali na wenye uzalendo awadumu. Moja ya chanzo amekieleza Mh. Mchengelwa kwamba wanaopata madaraka hawana akili kubwa na hivyo wanaogopa wenye akili...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amezuru kaburi la hayati Sokoine ikiwa ni maandalizi ya Kumbukizi la Miaka 40 ya Kifo chake
Makonda amewataka Vijana wa Tanzania kuiga Uzalendo wa hayati...
1. Dr. Nyambura Moremi
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya...
Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mujibuwa sheria...
Waziri mh Jenister Mhagama amesema serikali itagharamia huduma zote wanazostahili kupata Waathirika wa mafuriko ya Rufiji
Aidha mh Mhagama amesema wananchi wawe wasikivu kwa Viongozi wa Serikali...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
Hakuna aliyeleta mafuriko, Serikali ya awamu ya Sita iko nanyi kuhakikisha kila mtu anapata huduma za kibinadamu.
Kama tulivyokuwa wamoja Rufiji, tuko pamoja Arusha pia.
Badala ya kusmbaza...
Katiba mpya!
Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?
Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-
1. Samia...
Kuanzia kesho April 12 tutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi badala ya hii NEC ya sasa ambayo inakoma
Aliyewezesha kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi ni Mwenyekiti wa Kikosi Kazi Prof Mkandala
Katika...
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel.
Pasipo kujali...
Rais Samia amesema pamoja na kutoa Maelekezo Kwa TRA wasichukue Kodi za Dhuluma ila anasikitika kwamba wafanyabiashara ndio wamekuwa Wanaidhulumu Serikali Kwa kukwepa Kodi.
Samia amesema watu...