Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwita Waitara akiwa mbele ya Komredi Kinana ameeleza wananchi na wanachama wa CCM kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu hautakuwa na demokrasia katika jimbo lake. Wakati akiyasema...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Niko Rukwa kwa kazi zangu za uandishi wa habari za mazingira siku 5 Sasa. Hapa naongea toka kijiji cha Kabwe wilaya ya Nkasi. Hapa Niko Jimbo la Nkasi kaskazini Kwa Mbunge pekee wa kuchaguliwa wa...
10 Reactions
64 Replies
3K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali...
2 Reactions
1 Replies
615 Views
Nashindwa kuelewa tusimame kwenye kauli ya yupi!! Sielewi ni kauli ya yupi ina uhalali baina ya hawa wawili!! Sielewi mbaya hasa kwa mujibu wa sheria hapa ni nani,baina ya wanaosemwa wanatukana...
0 Reactions
4 Replies
566 Views
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi. Na as long as...
6 Reactions
16 Replies
858 Views
Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Alisem hadharani na wala si siri, hakuna anayemsingizia. Atakuwa anajua mipango yote. Inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lisu risasi maana alisema and I quote him "Safari hii tunammaliza na...
14 Reactions
28 Replies
5K Views
Akichangia katika bunge la JMT Mbunge wa Mtera Lusinde ameitaka serikali izingatie matokeo ya sensa katika ugawanywaji wa huduma za kijamii kama shule, hospitali na barabara, anasema huduma hizo...
2 Reactions
1 Replies
409 Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema CCM ikikosa Umoja itasambaratika na hatimaye kusambaratisha Nchi, anayefarakanisha wenzake hatufai Dr Nchimbi amesema hayo mkoani Songwe Kwao Akina Lucas...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Wale Waitaliano Waliojenga Bwawa la Umeme la Mtera walisema miaka ile ya 1980s kwamba suluhu ya Nishati ya Tanzania ni Umeme wa Maji kwa Sababu Nchi hii Maji ni Mengi Mno Wakati huo sikuwaelewa...
25 Reactions
24 Replies
2K Views
Don’t miss: Gold has long been considered the ultimate safe-haven asset, but a growing number of investors are now turning to farmland for better returns and greater protection against inflation...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa...
0 Reactions
3 Replies
541 Views
Kundi la CHAWA Ndani ya CCM ni kubwa kuliko Hata Chama Kikuu Cha Upinzani Chadema Natoa angalizo CCM wawe makini Sana na CHAWA maana hawa jamaa Wana Nguvu kubwa kwenye Maamuzi mbalimbali Niishie...
0 Reactions
3 Replies
571 Views
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Hii ni kwa Mujibu wa CAG "Nilibaini kuwa Bohari Kuu ya Dawa ilinunua mashine 10 za kuondoa maumivu, ukakamavu na mkazo wa misuli (Diathermy) kwa bei ya shilingi milioni 136.7 na kuacha kununua...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Nianze kwa kuwapa pole na kuwaombea kwa mwenyezi Mungu ndugu zetu wote waliopata majanga ya mafuriko popote nchini Tanzania, pili nimpe pole Mh. Raisi mama Samia suluhu Hassan kwa kitendo cha...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine. Hata kama...
20 Reactions
140 Replies
25K Views
Na Mwandishi Wetu, Serengeti MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo madai ya mauaji ya wananchi katika hifadhi...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…