Niko Rukwa kwa kazi zangu za uandishi wa habari za mazingira siku 5 Sasa. Hapa naongea toka kijiji cha Kabwe wilaya ya Nkasi.
Hapa Niko Jimbo la Nkasi kaskazini Kwa Mbunge pekee wa kuchaguliwa wa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio...
Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali...
Nashindwa kuelewa tusimame kwenye kauli ya yupi!!
Sielewi ni kauli ya yupi ina uhalali baina ya hawa wawili!!
Sielewi mbaya hasa kwa mujibu wa sheria hapa ni nani,baina ya wanaosemwa wanatukana...
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia.
Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini!
Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi.
Na as long as...
Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024...
Alisem hadharani na wala si siri, hakuna anayemsingizia. Atakuwa anajua mipango yote.
Inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lisu risasi maana alisema and I quote him "Safari hii tunammaliza na...
Akichangia katika bunge la JMT Mbunge wa Mtera Lusinde ameitaka serikali izingatie matokeo ya sensa katika ugawanywaji wa huduma za kijamii kama shule, hospitali na barabara, anasema huduma hizo...
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema CCM ikikosa Umoja itasambaratika na hatimaye kusambaratisha Nchi, anayefarakanisha wenzake hatufai
Dr Nchimbi amesema hayo mkoani Songwe Kwao Akina Lucas...
Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi...
Wale Waitaliano Waliojenga Bwawa la Umeme la Mtera walisema miaka ile ya 1980s kwamba suluhu ya Nishati ya Tanzania ni Umeme wa Maji kwa Sababu Nchi hii Maji ni Mengi Mno
Wakati huo sikuwaelewa...
Don’t miss: Gold has long been considered the ultimate safe-haven asset, but a growing number of investors are now turning to farmland for better returns and greater protection against inflation...
UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa...
Kundi la CHAWA Ndani ya CCM ni kubwa kuliko Hata Chama Kikuu Cha Upinzani Chadema
Natoa angalizo CCM wawe makini Sana na CHAWA maana hawa jamaa Wana Nguvu kubwa kwenye Maamuzi mbalimbali
Niishie...
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari...
Hii ni kwa Mujibu wa CAG
"Nilibaini kuwa Bohari Kuu ya Dawa ilinunua mashine 10 za kuondoa maumivu, ukakamavu na mkazo wa misuli (Diathermy) kwa bei ya shilingi milioni 136.7 na kuacha kununua...
Nianze kwa kuwapa pole na kuwaombea kwa mwenyezi Mungu ndugu zetu wote waliopata majanga ya mafuriko popote nchini Tanzania, pili nimpe pole Mh. Raisi mama Samia suluhu Hassan kwa kitendo cha...
Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine.
Hata kama...
Na Mwandishi Wetu, Serengeti
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo madai ya mauaji ya wananchi katika hifadhi...
Kasheku amelilalamikia Bunge kwa nini haliwezi kutoa maamuzi ya kufanyiwa kazi.
Anapendekeza bora hoja bungeni zisipelekwe kuliko kupoteza muda.
Ktk clip inayosambazwa anatoa mifano kuwa kuna...