Nikiwa naangalia taarifa ya habari, nimesikia waziri akisema wanataka kuanzisha madarasa janja akimaanisha "smart classes"
Nawaheshimu sana watu hawa wanaoitwa Prof. kwani wengi wao wamepita njia...
Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha .
Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa...
Yule mzee Dr Shein na mkewe kwa kweli ni Viongozi wa mfano hasa kwetu Watanganyika tusiojua maana ya kustaafu
Yaani fikiria huku Tanganyika Waziri mkuu mstaafu anaenda Kuwa Mwenyekiti wa Kanda...
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.
Timu yangu ilifanikiwa...
Bali changamoto iliyopo ni namna atakavyotekeleza Ubalozi huo kabambe kwenye jamii
Taarifa zake hizi hapa
---
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)- Taifa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika...
MBUNGE STANSLAUS NYONGO ASEMA MSD IWEZESHWE KIMTAJI ILI IFIKIE MALENGO NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo tarehe 12 Mei, 2023...
Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania
Mobhare Matinyi
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
🗓️...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI.
Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania 🇹🇿...
Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi?
Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi...
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
Kama mdau wa maendeleo wa nchi hii yetu pendwa..nimekua toka enzi za utoto nikiona matumizi makubwa ya RELI ya TAZARA. Katika utawala wa Mwinyi na Mkapa RELI hii ilikuwa ni kitovu cha uhudumiaji...
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana...
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”.
Sasa Humo Bungeni anafanya nini?
Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo hii kinafanya Mkutano Mkuu Maalum Jimbo la Mjini Morogoro.
Kuna Chaguzi kadhaa za Viongozi wa Jimbo pamoja na...
Salaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine...
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara na Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Nyamongo wameiomba Serikali kuwachukulia hatua waliohusika na vifo vya wananchi baada ya kutokea mgogoro katika eneo...