Ukitaka kujifunza kustaafu Uongozi nenda kwa Dr Shein, Mstaafu asiye na Mbambamba Wala mambo Mengi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,088
Yule mzee Dr Shein na mkewe kwa kweli ni Viongozi wa mfano hasa kwetu Watanganyika tusiojua maana ya kustaafu

Yaani fikiria huku Tanganyika Waziri mkuu mstaafu anaenda Kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Mashariki Chadema 😂

Siasa za Bongo Pasua Kichwa!
 
Acha uongo mbona aling'ang'ania umakamu mwenyekiti wa CCM kumpisha Mwinyi baada ya kumaliza muda wake wa Urais?
 
Bado anahangaika na uongozi, dk shein ni mkuu wa chuo cha mzumbe.
Very foolish hawa watu hawaridhiki au shida ni nini?
Mtu alikuwa Rais madaraka makubwa kuliko yote, amemaliza bado wanawapa tena ukuu wa vyuo.
 
Ukuu wa Chuo ni symbolic
 
Yule mzee Dr Shein na mkewe kwa kweli ni Viongozi wa mfano hasa kwetu Watanganyika tusiojua maana ya kustaafu

Yaani fikiria huku Tanganyika Waziri mkuu mstaafu anaenda Kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Mashariki Chadema

Siasa za Bongo Pasua Kichwa!
Hivi pensheni yake kwa mwezi wanakokotoa vipi?maana alikuwa Makamu wa Rais Tanzania alafu baadaye Rais wa Zanzibar.Kwaiyo kwa mwezi anakunja maokoto pande zote Bara na visiwani?
Pascal Mayalla Nguruvi3

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu una uhakika?ukumbuke katumikia serikali za nchi mbili tofauti ambazo kwenye Muungano moja imebeba mambo ya Muungano na ya Tanganyika!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hayo ni mawazo ya wanasiasa lakini nchi ni moja na serikali ni mbili! Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Zanzibar na baadaye Rais wa Tanzania hivyo analipwa na serikali ya Muungano!
 
Back
Top Bottom