Wewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29...
Wanabodi
ANGALIZO:
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli akisifiwa na kupongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema lolote, wao...
Gharama za kuomba KIBALI cha kazi kwa raia wa Afrika Mashariki anapotaka kwenda kufanya kazi katika nchi mwanachama wa Jumuiya EAC:
Burundi: $60-84
Kenya: Hakuna ada
Rwanda: Hakuna ada
Tanzania...
Wanaukumbi.
UCHAGUZI ulishafanyika Tanzania yaani nchi imeshaondoka kwenye uchaguzi na Rais alishaapa na Rais wa Tanzania ni Mhe.Samia Suluhu na mambo yatakwenda hivyo mpaka Oktoba 2030.. Sijui...
JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha.
Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa...
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.
Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.
Wanaowasikiliza nao wamelia kwa...
CHATO! CHATO! CHATO!
Tundu AM Lissu, MB
Tienen, Ubelgiji
Chato imetamalaki kwenye vichwa vya habari vya magazeti mengi ya Tanzania katika siku za karibuni. Chato imetawala mijadala katika...
Kwa taarifa zilizopo hadharani, Prof. Assad hajawahi kumtaja wazi kwa jina waziri huyo katika nukuu inayosambazwa kuhusu waziri kijana anayemiliki magari matatu aina ya LC300, Range Rover na...
Tunamshukuru Mbunge Msukuma hakumung'unya maneno kwa kuelezea jinsi fedha ya Road Fund inavyochezewa, kinyume na sheria ya Bunge.
Kuna Mkandarasi mzawa ninaye mfahamu alipata kazi nzuri tu...
Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la...
Heshima kwenu wakuu,
Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba...
Nakusalimu mheshimiwa Raisi.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana naandika haya kama mwananchi wa kawaida ambaye anapenda kuona wewe unafanikiwa. Huu ni ushauri, hivyo unaweza ukautendea kazi au ukaupuuza...
Air Tanzania Company Limited (ATCL) has launched direct flights between Mwanza and Dodoma, cutting travel time from 10 to 12 hours by road to just one hour and 20 minutes by air, in a move...
Wote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu...
Wakuu,
Kama mtakumbuka uzi wangu uliopita, nilieleza jinsi fedha za VIP Engineering zilivyosambazwa kwa wanasiasa wa chama tawala wakiwemo viongozi wawili wa juu wa Upinzani.
Sasa mambo yanaanza...
Napenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe.
People's, people's, people's...
Hiyo katiba mpya itakujaje huku mnahubiri vurugu, huku mnafanya uchochezi, huku mnahujumu uchumi wa nchi, inamaana viongozi wa chadema hawayaoni haya? Nadhani ni vihio/vilaza wote
Ukiwaona...
Katika mahojiano maalum yaliyorushwa na M&S Podcast, Juni 24, 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amefafanua kuwa kiongozi bora ni yule...
Kwenye vita huwa hatushambulii kulia, kushoto, mbele na nyuma lazima uache njia ya kukimbilia ukizidiwa.
Baada ya kusikia Mke wa Lissu na Dada wa Polepole kwenye bunge la Ulaya niseme kuwa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.