Tetesi: Mishahara ya watumisi mwezi Juni kulipwa Julai 3

Makojo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
4,808
Reaction score
5,983
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.

Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.

Wanaowasikiliza nao wamelia kwa uchungu. Serikali chukueni hatua kuwaokoa Watanzania na maumivu haya makali

wamelia kinafiki gentleman acha upotoshaji na porojo.

Hata hivyo watumishi wote wa umma Tanzania, watalipwa mishahara na stahiki zao kwa wakati muafaka na kwa mujibu wa sheria bila kubabaika na porojo nonsense kama hizi.

Ni muhimu sana kwa watumishi wote wa umma kuendelea kuchapa kazi za umma wa waTanzania kwa bidii na weledi kama kawaida na kupuuza kabisa uzushi huu useless 🐒
 
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.

Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.

Wanaowasikiliza nao wamelia kwa uchungu. Serikali chukueni hatua kuwaokoa Watanzania na maumivu haya makali

Makojo
Afadhali.Maana kuna mwalimu namdai na ameenda likizo.Atarudi tu,Mola mkubwa!
 
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.

Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.

Wanaowasikiliza nao wamelia kwa uchungu. Serikali chukueni hatua kuwaokoa Watanzania na maumivu haya makali

Makojo

Wameenda kukopa Haiti mara hii 😛 😛 😛
 
Back
Top Bottom