Hatutazungumza mageuzi Mkoa wa Kilimanjaro bila kumtaja Ndesamburo

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
17,787
22,104
Mbowe mwenyewe kasema chadema imelegea!

"Pamoja na mapungufu yote ambayo tutaelezana hapa, inawezekana tusiwe wepesi sana kutekeleza mipango ya mikakati mingi, lakini ukweli ni kwamba mageuzi ni nia ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na tukizungumza nia ya mageuzi tunamzungumzia mzee Ndesamburo.

Hatutazungumza mageuzi Mkoa wa Kilimanjaro bila kumtaja Ndesamburo, kama Mzee Ndesamburo angefufuka leo auone Mkoa wa Kilimanjaro kwamba chama hiki kimelegealegea lakini bado hakijafa, angefurahi sana"- Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
20240620_110323.jpg
 
Back
Top Bottom