Kila tangazo la ajira ofisi husika inajinasibu kuwa inatoa fursa sawa kwa wote, lakini si kweli. Ajira yoyote ndani ya taasisi ya umma utaweza kuipata endapo mabosi wa taasisi hiyo, watoto wao...
Huo ndio ukweli Elimu ya Tanzania hutolewa kimkakati sana hivyo siyo rahisi kupata Vijana wa kubeba maono ya Gen Z kama ilivyo Kenya na sasa Nigeria
Gen Z ya Kenya imesheheni Wasomi wa Sheria na...
Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea.
Haya matamshi...
Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo...
Hii nukuu ya Mzee Kikwete nimeikuta huko ukurasani X
" Dhamana ya Uongozi haikufanyi uwe na Haki zaidi kuliko Mtu mwingine asiye Kiongozi. Kujishusha hakukufanyi Usiwe Kiongozi"
Credit: Elimika...
Ndugu zangu,
Kwenye vyombo vya habari kumekuwa na taarifa zinazochanganya juu ya kinachomsibu Dk. Mwakyembe.
Na kama utangulizi ufuatao nitauzungumza kama hotuba fupi mbele ya watu...
Nadhani hii kauli ilikuwa na kaukweli Kwa mbali ila wahusika walitafutiwa TU timing.
Pia soma
Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Lema...
Taarifa zinaonyesha kwamba wakati Mangula akipoteza fahamu kutokana na kulishwa sumu , ndani ya ofisi ile kulikuwa na viongozi watatu tu wa CCM, Bila shaka viongozi wale walimjua mtu aliyempa sumu...
Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na...
Wakati wa Magufuli niliwahi andika hapa kama Magufuli anao watu wa kumwambia ukweli na akawasikiliza, nilitoa mfano wa Fidel Castro alivyokuwa anaogopwa na watu wengi sana lakini walikuwepo watu...
Gen Z movement zilianzia Kenya, zinaelekea Uganda na sasa zimebisha hodi Nigeria. Yapo mafanikio kadhaa yameanza kuonekana kama:
1. Marais kusitisha safari zao nje ya bara la Afrika kwenda kuomba...
Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi.
Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
Napata picha namna Makamanda wa Chadema watakavyotembea Vifua mbele ππ
Ruto amefungua njia huko nchi jirani Ili kuwaridhisha Gen Z
Mlale Unono Makamanda π
PIA SOMA
- President William Ruto...
Rais Samia ameonesha panic ya hali ya juu hivi karibuni. Je ni sababu zipi hasa zimeleta hii hali
1. Je ni ushindani ndani ya chama
2. Je ni mikutano ya wapinzani ambayo imeweka wazi mikataba ya...
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 24 Julai, 2024 amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini India kwa...
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa...
Wakuu msichoke , hata kama kuna kesi ya Mbowe inayopora karibu kila sikio la mtu , au labda uchaguzi wa Spika , lakini kuna mambo mengine ni kama madogo hivi , lakini ni lazima yajadiliwe.
Iweje...
Vumbi analotimua huyu Katibu mwenezi wa CCM komredi Makonda kuna mila dalili ya kutimia kwa Unabii wa Mzee Lowasa aliyesema "Chadema tusiposhinda Urais Mwaka huu 2015 itatulazimu tusubiri kwa...