Wanabodi,
Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all...
Wengi wanaoteliwa na Rais, ndio mfumo tulionao. Hiki kitu siyo kibaya, tatizo linalotokea ni watu kufanya kazi kwa uoga na hofu. Anaamka asubuhi anakwenda ofisini hajui jioni kama atakuwa ana hiyo...
Rais Samia
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku sita mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka huu.
Akitoa taarifa ya ziara ya Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa...
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
=========
Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa...
Nimefurahishwa na hatua ya Rais ya kuunda Tume ya Kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi,yaani" Presidential Commission on Tax Reforms" nchini. Ninayo maoni na ushauri wa jumla kama...
MATENDO NA TABIA za Bwana Luhanga Mpina ni kama mbwa mzee ambaye amejichokea kuishi sasa anatafuta sababu za kufa ndiyo maana anajilaza barabarani kila mara ili magari yamkanyage afe lakini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed...
Namba hazidanganyi hata kama akishinda kwa halali bado sifa yake ya kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi inaonekana kama imemchafua.
Siku hizi ukiwa kijana na ukawa mwanaccm jamii na vijana...
Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini...
Rev. John E. Kimario
Watu wa Mungu, watanzania wenzangu nawasalimu kwa upendo na kwa jina lipitalo majina yote. Kama tujuavyo HAKI HUINUA TAIFA, leo natuma waraka huu kwenu ukazidi kuifanya haki...
Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa...
26 February 2024
PROF. JUMA - HAKI SIO USHINDI, BALI NI USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI UKAWEKWA KATIKA MIZANI
https://m.youtube.com/watch?v=STdxA1gIJ7c
Video courtesy of millard ayo
Na Mary Gwera...
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.
Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former...
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke.
Pia soma
Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli
Zuhura Yunus...
Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama...
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya ...
Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla.
Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana.
Pia soma: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia...
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM.
KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda...
Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi?
Taarifa yake hii hapa
===
“Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa...