January Makamba: Kuhusu mimi kuwa Rais hili linasemwa sana nami niseme...

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
"Kuhusu kuwa Rais hili linasemwa sana nami niseme, kwangu na kwa wasionikubali hili jambo sio la kupania kwani Mungu ndiye hupanga, akitaka uwe hakuna awezaye kuzuia usiwe, na hadi mbingu na ardhi zitakula njama ili uwe, asipotaka uwe, hata ufanyeje huwezi." - January Makamba

1127277
 
View attachment 1127277

Angekuwa hataki angesema, lakini hapo kasimamisha shilingi.
 
"Kuhusu kuwa Rais hili linasemwa sana nami niseme, kwangu na kwa wasionikubali hili jambo sio la kupania kwani Mungu ndiye hupanga, akitaka uwe hakuna awezaye kuzuia usiwe, na hadi mbingu na ardhi zitakula njama ili uwe, asipotaka uwe, hata ufanyeje huwezi." - January Makamba

View attachment 1127277
Huyu anakufuru.........Mbingu na ardhi zitakulaje njama?!

Mtu anayeamini katika " njama njama" hawezi kuwa Rais maana atakuwa mtu wa majungu sana.

Maendeleo hayana vyama
 
"Kuhusu kuwa Rais hili linasemwa sana nami niseme, kwangu na kwa wasionikubali hili jambo sio la kupania kwani Mungu ndiye hupanga, akitaka uwe hakuna awezaye kuzuia usiwe, na hadi mbingu na ardhi zitakula njama ili uwe, asipotaka uwe, hata ufanyeje huwezi." - January Makamba

View attachment 1127277

Kwa sasa sifa kubwa ya kuupata URAIS CCM ni kwanza kujiona hustahili kuwa RAIS.
Halafu jamaa wanakuzingira ghafla na kukwambia kamata form jaza!
 
Back
Top Bottom