Rafa kilenza
Member
- Jan 23, 2017
- 32
- 30
TUNDU LISSU HAFAI KUWA RAISI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA LAWYER SOCIETY (TLS)
Chama cha wanasheria Tanzania ni moja ya taasisi zinazojitegemea na zenye katiba zao na miongozo yao ambayo kimsingi na kisheria hazipaswi kuingiliwa kabisa na serikali kwa namna yeyote ile.
Katika nchi yetu tuna bodi mbalimbali ambazo zinasimamia taalumu mbalimbali na majukumu ya msingi kwa bodi hizi ni kusimamia ufanisi na utendaji kazi kwa taaluma husika Tuna bodi ya wahasibu na ukaguzi Tanzania yaani national board of auditing and accountancy (NBAA), Kuna board ya wafamasia Tanzania? Tuna bodi ya wakandarasi Tanzania, Tuna Tanzania institute of banker's (TIB) na nyengine nyingi tu
Bodi hizi za kitaalamu hazipaswi kabisa kufanya kazi tofauti na majukumu yake ya kimsingi yaliyo ainishwa kwenye katiba zao kwa mfano kukuta bodi ya uhasibu inafanya kazi za siasa hili ni kosa kubwa sana au kukuta bodi hii inatetea wanachama wake waliopo serikalin tu na kuacha kutetea wanachama wake walipo katika sekta binafsi.
Hakuna asiyefahamu kuwa hakuna watu muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu kama wanasheria wenye uzalendo uliotukuka na mapenzi mapana kwa nchi yao
Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) kinaelekea kufanya uchaguzi wao mkuu wiki ijayo jijini Arusha.
Hiki ni kipindi kigumu sana kwa wanachama wote ambao wana haki ya kuchagua mgombea wao wa kuwaongoza na kutetea maslahi yao bila kujali itikadi ya vyama vya siasa.
Mmmoja wa wagombea aliyejitokeza kuwania nafasi ya juu kabisa katika chama hicho ni mwanasiasa,wakili na mbunge wa singida mashariki mh Tundu Lissu ambaye pia ni mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Hakuna asiyejua kwamba lissu anajua sana sheria, Lissu ni mmoja wa wanasheria mahili sana hapa Tanzania hilo halipingiki na wala haliitaji ubishi.
Kisheria na kwa mujibu wa katiba ya TLS lissu ana haki zote za kuchaguliwa na kugombea kuwa kiongozi wa chama hicho lakini kuna sababu muhimu sana ambazo zitakiondolea chama hicho ubora wake wa kuwa chama cha mawakili wote
KWA NINI LISSU HAFAI?
Kwanza kabisa tuangalie mfano wa kituo cha sheria na kutetea haki za binadamu kinachoongozwa na Dr Hellen Kijo Bisimba tuangalia jinsi kituo hichi kinavyofanya kazi zake.
Hakuna ambaye hajui kuwa Dr hellen kijo bisimba anakiendesha kituo hichi kama jukwaa la siasa za vyama vya upinzani tu.
Kituo hichi kinakuwa mstari na kujitokeza mbele ya waandishi wa habari kutetea jambo ambalo limewaguswa upande wa upinzani tu.
Matukio mengi sana yametokea hapa nchini lakin hakuna aliyesikia kauli yeyote kutoka kwa dr hellen kijo bisima kwa mfano kulitokea mauaji mengi sana ya polisi wakiwa katika maeneoa yao ya kazi huyu mama hakuwahi kujitokeza na kukemea huu unyama, Sasa tujiulize polisi sio binadamu? Polisi hawana haki?Je katiba ya kituo hicho hakiwatambui polisi?
Mwezi uliopita kulitokea tena mauaji ya askari wa jeshi la polisi wakiwa katika maeneo yao ya kazi hakuna aliyesikia wala kuona kituo hichi kikitoa tamko, haya mambo ndio ambayo hayatakiwa kwa vyombo kama hivi vinakuwa vinakemea matatizo ya upande mmoja tu.
Tumeona swala la kupotea kwa mwanachama wa chadema ben saanane likipewa kipaumbele kikubwa sana na Dr Kijo Bisimba sasa tujiulize kuna tofauti gani kati ya ben saanane na wale askari polisi waliouwawa mwezi uliopita? Hawa wote si ni watanzania
Dr hellen kijo bisimba anakua mkali sana na kukemea jambo ambalo limetokea upande wa upinzani na sio ccm wala serikalini.
Wala hauitaji kuwa na degree kutambua kwamba kituo hichi kinafanya kazi za siasa za upinzani au wanatumia jukwaa lao kufanya siasa za upinzani tu
KuhusuTundu lissu wote tunajua misimamo yake tunajua itikadi yake wala haupaswi kuwa na PhD kutambua kwamba kumpa lissu uongozi wa juu kabisa ni kuifanya tls kuwa jukwaa la chadema sasa.
Lissu ni kada mtiifu wa chadema sasa ni wakati wake akiwa raisi wa tls kuligeuza kupitisha hoja zao za kisiasa.
Tumeona lissu siku za karibuni akitoa maneno ya kashfa kwa mh Rais wetu na kwa viongozi wetu huyu mtu hafai kuwa kiongozi mkuu wa chombo hicho kumpa lissu uraisi ni sawa na kuifanya tls kwenda kuwa tawi la chadema sasa.
Tutaona matamko mbali mbali ya TLS yakiwa ya kisiasa tu na sio kitaalama na huu ndio utakuwa ni mwisho wa nguvu wa hicho chombo maana hata watawala watajua kuwa uko kunafanyika siasa tu.
Mimi nawaomba wanasheria wote wanaokwenda Arusha kupiga kura msichague kwa mihemko, chagueni kiongozi ambaye mnaona atawafaa na asiye kuwa mwanasiasa kama Lssu.
Lissu is too much politician, Lissu lazima atakifanya chama chenu kuwa tawi la chadema na hapo ndipo mtakuwa mmekiua chama chenu nyie wenyewe kwa kura zenu wenyewe, Msijaribu na msithubutu kuingiza siasa katika vyombo vya wanataaluma.
NDIMI,
RAPHAEL LUKINDO.
0765499321.