Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii.
Ameyasema hayo...
Taarifa kamili hii hapa
Pichani chini, Bilionea William Mungai ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti John Heche
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Agosti 12, 2026
Kesi ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu inaendelea katika Mahakama Kuu ya Dar es salaam ambapo Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross Examination Shahidi wa...
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Agosti 13, 2026
Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -;
Part 237
Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza.
Wanaingia Mawakili wa...
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana
Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae...
Wanabodi
List ya Forbes kwa mwaka huu ya mabilionea 100 wa dunia, imetoka leo, https://www.forbes.com/real-time-billionaires/, Bilionea Mwafrika Mweusi ni mmoja tuu, Aliko Dangote!.
Nimekuwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kumjibu mwana JF mwenzetu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, aliyesema rais Magufuli ni alfa na omega, hapa mimi natofautiana naye kuwa rais Magufuli sio alfa na omega, Alfa na...
Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo.
Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo...
===
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre) kimeendelea kuhimiza matumizi ya ubia kati ya Serikali na sekta binafsi kama nyenzo muhimu ya kuchochea maendeleo ya...
Wanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama
Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini...
My Take
Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana.
Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa...
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo, Agosti 10, 2026, kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya...
Yaani sasa Rwanda haitaki Mataputapu kutoka Tanzania. Ila double kiki imepenya🤣🤣
Watengeneza pombe wameagizwa kuziondoa sokoni, na kusitisha matangazo ya pombe kila sehemu hata mabango...
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amesema "Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi". Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi...
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania...
Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano...