Rais Samia ashiriki kikao cha Umoja wa Afrika (AU)

Rais Samia ashiriki kikao cha Umoja wa Afrika (AU)

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
926
Reaction score
794
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao, tarehe 26 Machi, 2026, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.

IMG-20260326-WA0052.jpg

IMG-20260326-WA0051.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, Jasiri muongoza Njia ,Nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge.

Ameshiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja Wa Afrika Kwa njia ya Mtandao Ikulu Ndogo Ya Tunguu Zanzibar. Ambapo kikao hicho kimeongozwa Na Mwenyekiti wake ambaye Pia ni Rais wa Burundi .

Masuala mbalimbali yamejadiliwa na kuzungumzwa katika kikao hicho . Na kama ilivyo kawaida yake Rais wetu Mpendwa amezungumza mambo mazito na ya msingi sana na yenye maslahi kwa Afrika na ustawi wa waafrika.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti .

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260326-224645_2.jpg
 
Mbona kakondeana hivyo? Hamumpi rais wenu misosi? Mwambieni akamzike lukuvi
 
Back
Top Bottom