Basi wale tunaoamini katika Reincarnation au kuzaliwa Upya .
Basi tupitie Zaburi hii na tuseme amina kwa ajili ya mtumishi mwanasiasa yule apate kusamehewa na kerehemiwa afya yake ikae sawa kisha...
ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za...
Tanzania kabla ya muungano ilikua inaitwa Tanganyika na Zanzibar, lakini ni utaratibu wa kawaida nchi kubarisha majina yake kwa sababu mbali mbali moja ya sababu hizo hua ni zifuatazo...
Demokrasia ni mfumo mzuri ila una changamoto kubwa bila jamii yenye
. Uelewa mkubwa katika mambo ya kijamii
. Uelewa mkubwa katika mambo ya kisiasa
. Kiwango cha juu cha ustaarabu
Demokrasia...
Imekuwa kawaida Sasa Mh Rais au viongozi wa chini yake wanapotoa kauli tatanishi, za kukera au zilizo kinyume na sheria au hata katiba ya Nchi, huwa kunajitokeza wapambe kufafanua na kusema Rais...
Hakuna siri tena, hali huko mitaani imeshakuwa tete, raia wameanza kusanda, wameanza kufunguka na kuweka wazi kuwakataa wazi wazi viongozi wote waliobebwa na Magufuli mwaka 2020.
Viongozi wote...
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.
Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono...
Jumamosi Kikosi Kazi cha Wazalendo wa CCM tukiwa tunarejea nyumbani Iringa tutasimama Dodoma kuzuru Jiwe alilokuwa anajipumzisha Shujaa Magufuli baada ya Kazi ngumu
Pale Iringa mjini tunalo Jiwe...
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi...
Serikali imesema katika kuhakikisha kuwa Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa hapa nchini wanapata suluhisho la kudumu ifikapo Januari 2025 itafanya zoezi la mahojiano ili kutoa fursa ya...
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amekuwa akilalamika kuwa Rushwa ndani ya Chadema sasa imeota mizizi
Je, nani mtoa Rushwa mkuu Chamani?
Mfadhili wa Fedha za Rushwa ni...
Wasalaam
Tanzania yetu kuja kujitegemea itachukua karne nyingi sana kwa sababu mamlaka za kiserikali za kusimamia makusanya ya kodi zimefeli na hazina ubunifu.
Kwa mfano hapa Dar wanaosumbuliwa...
Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM
Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee
Halima Mdee ni asset...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km...
Hakuna chama chochote Cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo. Ndiyo chama pekee kilicho na sifa zifuatazo:
1. Kina azimio, linaloitwa Azimio La Tabora. CCM walikua...
Kama unabisha jaribu kuwachunguza Wabunge wote wa Chadema waliostaafu utawakuta Wana umaskini Uliotukuka
Labda Mbowe, Sugu na Heche ndio Wana nafuu lakini wengine wote akina Upendo Peneza...
Wakati Wana CCM wakielekeza akili zao na nguvu zao kushinda chaguzi "kwa kishindo" huku chini Hali sio nzuri kabisa.
Na huku Wakandarasi wakimnunulia Rais ndege kwa ajili ya shughuli zake za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.