Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Basi wale tunaoamini katika Reincarnation au kuzaliwa Upya .
Basi tupitie Zaburi hii na tuseme amina kwa ajili ya mtumishi mwanasiasa yule apate kusamehewa na kerehemiwa afya yake ikae sawa kisha arudi katika majukumu yake .
Zaburi 118:17 Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.