Youda Fema
Member
- Feb 2, 2024
- 68
- 60
Hakuna chama chochote Cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo. Ndiyo chama pekee kilicho na sifa zifuatazo:
1. Kina azimio, linaloitwa Azimio La Tabora. CCM walikua na Azimio La Arusha, ila Sasa hawana.
2. Ndio chama pekee kinachoibua Changamoto za wananchi na kuzitolea Ufumbuzi wake.
3. Ni Chama pekee ambacho magufuli, alikisifia bungeni mwaka 2015 na 2020 kuwa viongozi wake hawana papara ya mambo, ila wanachakata mambo Kwa kina.
4. Ndio chama chenye mawaziri katika serikali Kwa 2020-2025 baada ya kuiondoa CUF katika nafasi yake, na chenyewe kushika hatamu Zanzibar.
5. ACT Wazalendo ni Chama kinachopokea wanachama wapya Kwa hoja, sio Kwa udanganyifu kama ilivyo chadema au Kwa ulaghai kama ilivyo CCM.
ACT Wazalendo; Taifa La Wote, Maslahi Kwa Wote, Mamlaka kamili.