Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 23, 2024 amempokea Mhe. Mbae Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro anaeshughulikia Nchi za Kiarabu, nchi zinazozungumza Kifaransa...
0 Reactions
2 Replies
468 Views
1. Afghanistan Msaada: Kulingana na ripoti za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Afghanistan inategemea msaada wa kigeni kwa zaidi ya asilimia 70 ya bajeti yake ya maendeleo (UNDP...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Wapo wanachama ndani ya vyama vya siasa wanaoshikilia misimamo ya kupinga agenda zitakazokiimarisha chama. Ndani ya vyama wamo wanachama ambao wamenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi...
1 Reactions
0 Replies
295 Views
Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani. Akina...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo...
11 Reactions
57 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Uvuvi wa Comoro, Mhe. Dkt. Stanley Ali Bandar. Mazungumzo yao yalijikita katika namna...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu...
1 Reactions
6 Replies
711 Views
Utajiri wa nchi yetu ni mkubwa ktk rasilimali mbalimbali kama misitu,madini,Mafuta na Gesi. Mikataba ya siri mingi tulioingia na wawekezaji mingi imekuwa na matobo ya kutuadhibu inapotokea...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Salaam Ndugu zangu, Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu. Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni...
7 Reactions
90 Replies
3K Views
Haieleweki ACT Wazalendo hii Nguvu ya kufanya Mikutano Nchi nzima wameitoa wapi lakini ndio wanazidi kuchanja mbuga Ndugu zetu Chadema kwa sasa wako kwenye mgogoro mkubwa wengine wakiukubali...
0 Reactions
12 Replies
884 Views
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo. Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo. Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?
2 Reactions
16 Replies
787 Views
Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na...
1 Reactions
5 Replies
487 Views
Kupitia ukurasa wao wa tweeter, jeshi la Polisi Tanzania wameandika "Leo 23/09/2021 Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini akutana na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Si tatizo kumfuga kwa kumfungia ng'ombe bandani kwa mda mlefu huku ukimpelekea chakula na maji kwenye dishi lake siku Hadi siku. Tatizo Lina anzia pale ng'ombe huyo anapo kuja kubaha tika kwa...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Kiukweli nilipomsikia Shujaa Magufuli akikiri mbele ya Wananchi wa Singida Mashariki kwamba alimuomba Tundu Lisu aingie kwenye Baraza lake la Mawaziri niligundua Lisu mbali ya Siasa ana kitu cha...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom