Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kumaliza kongamano la Bavicha kesho Ruanda Nzovwe, Mbeya Mjini, Ambalo Chadema Wamegoma kulisitisha pamoja na Mkwara duni wa Polisi na kada wa ccm Francis Mutungi, Tundu Lissu atafanya...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kauli ya msajili ya vyama vya siasa na Jeshi la polisi kuhusu BAVICHA ina kila dalili kwamba watu hawa wamekaa kikao cha pamoja na kutoka na maazimio. Kwa mtizamo wangu inaleta picha kwamba UVCCM...
1 Reactions
2 Replies
604 Views
Leo kwenye mitandao mbalimbali, mijadala imekuwa mingi kuhusiana na kauli ya Rais Samia kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, mpe msomali. Siamini kama Rais anaweza kuitoa kauli hiyo kwa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Kipindi kile kabla kidogo na baada ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa Msigwa alijinasibisha na Lissu kila mahali alipokuwa .. Ni kipindi ambapo Msigwa alikuwa keshafika bei na kupokea advance! Na ni...
42 Reactions
98 Replies
5K Views
Habari waungwana, Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili...
58 Reactions
222 Replies
31K Views
Tanzania kwa sasa imekuwa ni nchi yenye matukio mengi sana, masuala ya ubakaji, watu kufa au kuugua bila taarifa, Afya kuwa ovyo n.k Nchii hi msemaji mkuu ni Rais, kwanini usirudi utaratibu Rais...
1 Reactions
4 Replies
420 Views
Habari waungwana, Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huraaaaaaaaaaaaa!!!! As the caption above. First of all we must understand that religion is the opium of the people which preaches the vacuum state. Above all, God exists mostly to people whom...
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kuna baadhi ya maeneo Mchungaji Msigwa alikuwa smart sana hasa yale ya Ngangari Bilionea Sugu ni bwanyenye 😄😄 Pia soma=> Tundu Lissu amtahadharisha Rais Samia...
2 Reactions
4 Replies
576 Views
Ndugu zangu Watanzania, Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Nasikia mbwa ameanza kubweka tena huko mabarabarani. Nasikia vijana wamezuiliwa kwenda mjini kwa sababu Kuna mbwa amepata kichaa amesimama barabarani anabweka na anaviashiria vya kuanza kung'ata...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Wale mnaobusha kuwa Msigwa siyo Mchungaji wa Kanisani nikiwemo Mimi tukutane hapa ili tujiridhishe kama kweli Msigwa amevaa Joho na Kuongoza Misa Kanisani Inadaiwa atakuwa kwenye Kanisa Moja...
1 Reactions
21 Replies
979 Views
Ukienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa. Kahawa mikoa ya...
13 Reactions
52 Replies
2K Views
Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa...
1 Reactions
64 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina...
22 Reactions
136 Replies
9K Views
Rushwa inaua sana utendaji wa ari, kujituma, ubunifu, na kujali. Tujitahidi ila tuombe viongozi wetu waone rushwa ndio chanzo cha mkwamo wala sio vyama vya siasa wala dini wala kabila wala...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
TAYARI imebainika, woga wao ni kuzuia Mhe. Mbowe asitumie jukwaa rasmi ili kuulezea ulimwengu uhuni na wepesi wa hoja za mwana CCM Msigwa. CCM wanatumia Polisi na Msajili ili kumlinda Msigwa...
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Kama kawa wanajamvi!( Na mimi nimeona nianze na kasalamu kama ndg Pasikali!) Imezoeleka huku majimboni pindi cha ziara za viongozi kuona wawakilishi wa wananchi wakisimama na kuomba miradi ya...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225) RAIS: Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo: 1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya...
34 Reactions
115 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…