Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,948
Leo kwenye mitandao mbalimbali, mijadala imekuwa mingi kuhusiana na kauli ya Rais Samia kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, mpe msomali.
Siamini kama Rais anaweza kuitoa kauli hiyo kwa kukurupuka. Yumkini kuna vigezo ulivyovitumia.
Sijafuatilia maendeleo ya kilimo huko Somalia. Wajuzi wa mambo tuelezeni kama Somalia ina maendeleo makubwa sana kwenye kilimo. Maana kama hapa msomali mmoja tu anaweza kukifanya kilimo chetu kibadilike kwa vile tu yeye ni msomali, huko Somalia kwenye wasomali mamilioni, inatakiwa kuwe na maajabu ya Dunia kwenye maendeleo ya kilimo.
Na vipi kwa wasomali waliopo nchini, wamewekeza sana kwenye kilimo?
PIA SOMA
- Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali