Rushwa ndio imetuvunja miguu, bado kidogo tu ituvunje na kiuno

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
345
548
Rushwa inaua sana utendaji wa ari, kujituma, ubunifu, na kujali.

Tujitahidi ila tuombe viongozi wetu waone rushwa ndio chanzo cha mkwamo wala sio vyama vya siasa wala dini wala kabila wala chochote bali ni rushwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom