johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Wale mnaobusha kuwa Msigwa siyo Mchungaji wa Kanisani nikiwemo Mimi tukutane hapa ili tujiridhishe kama kweli Msigwa amevaa Joho na Kuongoza Misa Kanisani
Inadaiwa atakuwa kwenye Kanisa Moja mashuhuri linaloongoza kwa kuwa na Maaskofu wenye PhD katika kila Dayosisi yake
Ahsanteni Sana
Nawatakia Dominica Njema 😄😄
Inadaiwa atakuwa kwenye Kanisa Moja mashuhuri linaloongoza kwa kuwa na Maaskofu wenye PhD katika kila Dayosisi yake
Ahsanteni Sana
Nawatakia Dominica Njema 😄😄