Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya maandamano yaliyopelekea Vifo vya Waandamanaji wa Gen Z, Serikali kuvunjwa kisa Msaada wa sheria ya Bajeti uliokuwa ukilalamikiwa Kwa madai ya kuongeza Kodi kwisha,Hali imetulia na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Tufanye hivi Uingereza na Waingereza hapa utakuta U.K Canada Australia New Zealand U.S Pia Uchina na wachina hapa utakuta China Hong-Kong Macau Taiwan Singapore Hapa tunaweza weka mjumuisho...
2 Reactions
4 Replies
413 Views
Inakadiriwa kuwa idadi ya Wayahudi wote duniani ni milioni kumi na tano. Wanaoishi Israeli ni asilimia 41 tu. Waliosalia, asilimia 41 wapo Marekani na asilimia 18 nchi zinginezo. Idadi ya...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Jana taswira ya Tanzania imechafuliwa na Jeshi la polisi kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu wote. Kongamano kama hilo la vijana wa CHADEMA limeshafanywa na vyama...
3 Reactions
1 Replies
450 Views
Yameonekana magari kadhaa aina ya coaster yakiwa yanapeperusha bendera za chadema yakielekea Arusha. Msemo wa wahenga Shingo haipiti kichwa umetimia. Wajifunze kutii Sheria bila shuruti. Amani...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe...
14 Reactions
64 Replies
5K Views
Habari njema kutoka Mbeya Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote. Updates Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa. Tunasikitika kuona...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani. Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza...
2 Reactions
3 Replies
808 Views
Nimesikiliza huyu mzee kisha nimejiuliza hawa vijana wanaovishwa mashati ya kijani na kuukataa ukweli tuwaweke kundi gani? Upungufu wa maarifa au tamaa mbele? Hawayaoni yanayo endelea au kwao ni...
1 Reactions
2 Replies
336 Views
Wakuu, Leo Kesi namba 456 inayowakabili Maxence Melo na Micke William imeendelea tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba kwa kusikilizwa Shahidi wa tatu na wa...
16 Reactions
52 Replies
10K Views
Tunaoona mbali tulisema Shujaa Magufuli asisimangwe Kwa Sababu Siasa za Vyama vya upinzani vya Tanzania ni tofauti Sana na kwingineko Duniani Nadhani sasa tumeeleweka Kwamba Shujaa Magufuli...
10 Reactions
80 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Harare, Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
1 Reactions
0 Replies
375 Views
TAARIFA KWA UMMA 12 Agosti, 2024 Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kufuatia katazo na kupiga marufuku kongamano la vijana wa CHADEMA lililokuwa limepangwa kufanyika katika uwanja wa...
0 Reactions
3 Replies
831 Views
Watu wanaiba kura kama akina Nape ambao walitangaza hadharani kabisa. Jamani mungu yupo na maisha haya ni mafupi sana. Andaeni maish ya uzima ambayo ni ya milele. Kuna siku nimepta maona kuw...
1 Reactions
0 Replies
220 Views
Ni jambo jema Kanisa Moja Takatifu La Mitume Mlale Unono 🌹🌹 --- Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri...
4 Reactions
5 Replies
778 Views
Kumekuwa na tabia inayoendelea kushika kasi kwenye nchi yetu ya wananchi kutaka au kuwasilisha kero zao na matatizo yao moja kwa moja kwa rais, wakati huo viongozi wa mikoa na wilaya wapo na...
0 Reactions
5 Replies
361 Views
Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa...
3 Reactions
11 Replies
751 Views
Back
Top Bottom