ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,423
- 69,011
Baada ya maandamano yaliyopelekea Vifo vya Waandamanaji wa Gen Z, Serikali kuvunjwa kisa Msaada wa sheria ya Bajeti uliokuwa ukilalamikiwa Kwa madai ya kuongeza Kodi kwisha,Hali imetulia na Wanasiasa wamejipanga upya.
Ruto aliteua Wanasiasa kadhaa wa Upinzani Kuongoza Wizara nyeti ikiwemo ya Fedha ambapo bwana Mbadi ambae ni mshirika wa karibu wa Raila Odinga na Kiongozi mwenye Nguvu wa Upinzani,aliteuliwa kuwa Waziri wa Fedha.
Bwana Mbadi amesema atazirejesha Baadhi ya Kodi ambazo zilikuwa zinalalamikiwa na Waandamanaji wa Gen Z Kwa madai kwamba Kodi hizo ni muhimu ambapo Baadhi yake zimerudi ikiwemo Fedha ya Ofisi ya Mke wa Rais.
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1823091374704508993?t=etLW9Z3FEizjCjuq6FuA8Q&s=19
My Take
Kila siku nawaambia ni Vijana wapumbavu tuu ndio watakuwa driven na Wanasiasa wanaowaambia maneno matamu kwmaba watawasaidia.
Hakuna mwanasiasa ambae atakusaidia Dunia hii Hadi ukavunjwe miguu,uuwawe au kuacha mishe zako Kwa madai eti ya Haki.
Nyie punguani endeleeni kuwashabikia mtavunjwa mbavu na vyeo watapata na watafanya Yale Yale ,sio tuu huko Kenya Bali kote ndivyo wanafanya.
Haya wale Gen Z,Kiko wapi ?👇👇
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1822946450239631799?t=tQ-ytx2UJVw_ypUuD3DdZA&s=19