Baada ya mwanaharakati na mtungeneza maudhui Fortunatus Buyobe kudai kuwa SSP Fatuma Kidongo ndio anayetajwa kama afande na wabakaji wakati sio kweli mwanasheria wa familia amedai kuwa mteja wake...
Hivi Watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia mtu anamlilia Rais.
Mtu akitembea na mke wa mtu...
Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa.
---
Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya...
So far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema wakati wowote kutoka Sasa Serikali Kupitia TanRoads itasaini mikataba 15 ya Ujenzi wa Barabara na madaraja Nchi nzima tukio ambalo Litashuhudiwa na...
Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari...
Natoa wito Kwa Wabunge kumuwajibisha Waziri Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa TanRoads walisainiana Mikataba hewa na wakandarasi wa kichina na Sasa mwaka umepita Serikali inasema inaendelea na...
Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo ulioanza Agosti 21, 2024 ukiendelea...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Agosti...
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanapata kadi za kupiga kura.
.
Ni mpango kabambe vijana wengi...
Rais wa TLS mh Mwabukusi amesema Hatuwezi kuendelea kufagilia Uchafu chini ya kapeti na kudanganya Dhamiri zetu nyumba yetu ni Safi Panapofuka Moshi kuna Moto
Mwabukusi amesema panahitajika...
Raisi wa awamu ya nne DR.jakaya mrisho kikwete akiwa kwenye MKUTANO mkuu wa ccm aliwahi kusema 2025 Mama haoni wa kushinda a naye labda mambo yaharibike sana ! Uthibitisho wa mambo kuharibika...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.
Leo nitazungumza mambo mawili mahususi ambayo sisi kama Chama tunaamini yanagusa Watanzania na yanazua taharuki na hofu, nitazungumza kuhusu sakata la wimbi...
Mnaendeleaje huko?
Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi.
Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa...
We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa...
Heshima sana wanajamvi,
Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ambao uliasisiwa na watu wawili ambao sasa hawapo, tena bila ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili sasa unapitia katika msuko...
Kuna baadhi ya mambo yalikuwa mazuri sana wakati wa Mwalimu Nyerere au tuseme enzi za Chama kimoja
Mkuu wa Wilaya alikuwa ni Mlezi siyo Mtawala hivyo alihusika kuratibu Ustawi wa Jamii katika...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro amesema kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake ni jambo la kawaida huku akisitiza kuwa hayajaanza kutokea leo...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameoneshwa kusikitishwa sana na kupotea kwa msanii Roma Mkatoliki na kuahidi kuwa atahakikisha anampata kabla ya Jumatatu.
Ameongea hayo kwa baadhi ya...